lugabussa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 557
- 523
Wanaomba Ila wenye fani watapewa kipaumbeleDaah sasa wenye form six tu na jkt pasipo na fani inakuaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaomba Ila wenye fani watapewa kipaumbeleDaah sasa wenye form six tu na jkt pasipo na fani inakuaje ?
Mie ni form six fani yangu Ni ufundi rangi ila sina cheti Cha fani nina bahati mbaya hapo tu nimejifunzia site mpaka wachina wakaniamini napiga nao kazi sites zaoDaah sasa wenye form six tu na jkt pasipo na fani inakuaje ?
Tafuta connection mkuu hali siyo shwari Kabisa unaweza kuwa na fani ukaachwaDaah sasa wenye form six tu na jkt pasipo na fani inakuaje ?
Tuma maombi mkuu huwezi jua mungu kakupangia nnUbaya unakuja unaitwa usaili dodoma alafu unakuja kutemwa dk za mwisho Kabisa baba kantuma wanaletwa
Daah hapa ndio pananivunja moyo na nikikumbuka na kuna kuchoma nauli bora ingefanyiwa wilayani na kuna ya mkoani kama walivyofanya awaliUbaya unakuja unaitwa usaili dodoma alafu unakuja kutemwa dk za mwisho Kabisa baba kantuma wanaletwa
Ngoja nijaribu nikikosa basiWanaomba Ila wenye fani watapewa kipaumbele
Usaili wala huachwi ila mwisho Kabisa wana cancelNgoja nijaribu nikikosa basi
Aisee ngoja tuone itakuwaje huko mbeleni ngoja nijaribuUsaili wala huachwi ila mwisho Kabisa wana cancel
Haya hayaaa Tz inogileeeee[emoji4]
Kwa mfano mm Sina Cheti cha jkt Nina fani .naruhusiwa kutuma maombiHaya hayaaa Tz inogileeeee[emoji4]
fani gani mkuu ..jaribu kuna uhitaji wa watu wa fani huwez jua mungu mkubwaKwa mfano mm Sina Cheti cha jkt Nina fani .naruhusiwa kutuma maombi
Umeme Wa magari Ila 2 Sina Cheti cha jkt vipi hap Na mm Nina sifa hapofani gani mkuu ..jaribu kuna uhitaji wa watu wa fani huwez jua mungu mkubwa
JaribuUmeme Wa magari Ila 2 Sina Cheti cha jkt vipi hap Na mm Nina sifa hapo
Hivi hizi ajira za uhamiaji barua unaandika kwa kiswahili au kingereza?Ubaya unakuja unaitwa usaili dodoma alafu unakuja kutemwa dk za mwisho Kabisa baba kantuma wanaletwa
KiswahiliHivi hizi ajira za uhamiaji barua unaandika kwa kiswahili au kingereza?
Asante mkuu..Kiswahili
Mkuu fani yako n added advantage ajira n konstebo wa uhamiaji usichanganye mamboAsante mkuu..
na kwenye heading naandika maombi ya nafasi ya kazi ya konstebo ya uhamiaji tu au naspecify kabisa fani nilionayo mfano mhandisi ujenzi.
Asante.Mkuu fani yako n added advantage ajira n konstebo wa uhamiaji usichanganye mambo
YAH: MAOMBI YA AJIRA YA KONSTEBO WA JESHI LA UHAMIAJI.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Mkuu fani yako n added advantage ajira n konstebo wa uhamiaji usichanganye mambo
YAH: MAOMBI YA AJIRA YA KONSTEBO WA JESHI LA UHAMIAJI.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app