Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hiki kigezo saivi sio tatizo tena watu mtaani wanafoji kile cheti cha jkt balaa
Unawezaje foji cha jakata kirahisi


Sahiv sio kama zamani Kuna vyeti vya kufoji ila sio jakata yaani inshort kuna taasisi huwezi foji vyeti

kwenye maombi uliambatanisha vyeti kwenye kopi kuna namba wanainakili namba ya cheti

Wakifanya confirmation inakula kwako
 
PDF magereza Tayar?
 
Ronja... Rts kihangaiko vijana wameanz kureport kupambania bakabaka..πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…