Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hapan wameenda wale waliosamehewa na mkuu.. ila ukipat connectn unaingia chombonnnn
 
Magereza washeleweshe tu huo mkeka nipige dili la sensa

Nikikosa wawahi tu


Nikikosa kote tusubiri tu Tanpol [emoji1787]
 
kwajinsi navo pelekewa pumzi ya moto na maisha kitaa.sielewi hawa polis wtakuja lini tena kuchukua watu!kama kibali wamepewa ila wamekausha kinoma
Hawawezi chukua wengine kwa sasa wakati bado watu wapo CCP hawajamaliza mafunzo. Mwishoni mwa mwezi wa 8 ndio wanatoka huko.Sensa ikipita wataanza mchakato huo wa kuchukua wengine.
 
Back
Top Bottom