Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mmh ni za mwaka huu kweli hizo mbona nmeskia zinaweza zikawa ni za mwakani
Mwaka huu kiongozi. ila kama ni mwakani ni unyama zaidi maana mshikaji wangu blood kindaki ndaki atakuwa kashamaliza mafunzo ya kujitolea bila kusahau na wana jf watakaopata nafasi ya kujitolea kwenye huu uzi awamu hii
 
Hivi inawezekana mtu kuanza mafunzo ya jwtz moja kwa moja bila kupita JKT?

MSATA kuna kozi ya JKT au jwtz?
 
Hapo ni sawa umeuliza hv kuna uwezekano wa kusoma sekondari bila kupitia elimu ya msingi?
Umejibu kijinga mno. Mbona inawezekana tena sana na wengi wamepita juu kwa juu bila hiyo JKT. Mfano wale wanaosome sayansi ya Jeshi walipitia JKT??
 
Back
Top Bottom