Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Daah basi ww hufuatilii vzuri hayo masuala..wameshaenda kozi toka mwaka jana october na wamemaliza mwezi uliopita na sasa hv wapo makazini...
Kuna zingine zilitangazwa ndio tunasubiri
Yaaap mkuu....acha tupige dua

Kama itashindikana ntaomba kurudi jkt kujitolea [emoji23][emoji23]
 
Miaka michache ijayo tutakuwa na jeshi la hovyo saana

Kuna sehemu watu wamepiga usahili wakafaulu alafu majina yao yamekatwa watu wamepachika watu wao

Kuna jamaa pia Anawadhifa mkubwa saana anatoa watu mtaani anawapeleka kozi ya jwtz moja kwa moja kwa dau la laki 8 mpaka milioni 2
 
Io ni kweli mkuu nimtafute😂
 
kama unamfahamu mpambanie akusaidie otherwise utaishia kulalamika tu hapa jukwani
 
Miaka michache ijayo tutakuwa na jeshi la hovyo saana

Kuna sehemu watu wamepiga usahili wakafaulu alafu majina yao yamekatwa watu wamepachika watu wao

Kuna jamaa pia Anawadhifa mkubwa saana anatoa watu mtaani anawapeleka kozi ya jwtz moja kwa moja kwa dau la laki 8 mpaka milioni 2
Tupe mawasiliano yake
 
Hivi ninaweza tumia cheti changu cha jkt mujibu wa sheria kuomba kazi mfano polisi au jw
Yote hayo Ni mafunzo ya awali ya jeshi ....kwa mujibu or kujitolea ....wote wapo sawa...nafasi zikitoka mnaomba

Mshikaji wangu katumia cheti Cha mujibu kuomba nafasi hizi za magereza.....kapata ...now yupo kula jalamba
 
Basi ngoja nimalize kwanza chuo nadhani kitanisaidia. Shukrani mkuu kwa kunijibu
 
wazee mwenye lonja basi atustue nilini polisi watatangaza nafasi 3000 ambazo rais aliwapa kibali.coz kimya kimetawala kiasi kwamba natamani hata ningeomba magereza
 
Basi ngoja nimalize kwanza chuo nadhani kitanisaidia. Shukrani mkuu kwa kunijibu
Yaaaap tulipokuwa kambini ( kwa mujibu ) Kuna OC wetu alikuwa anasikitika Sana watu wanavyotoroka

Alikuwa anasema " watu mmekuja ,.but hamjui umuhimu wa hivi vyeti.....but mtaujua tu[emoji1787][emoji1787]

Pia ndio sababu ya wale service man kuwa mind Sana watu wa majibu....coz nyie ham hustle Kama wao[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom