Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Aliniambia yeye anatokea ikulu so atanipitisha MSATA nikale kozi ya ajira kama mtu special (yaani maelekezo kutoka juu) ni wiki ya 3 sasa naona kimya [emoji24][emoji24]

Ndio nauliza kozi ya JW watu wanaanza kulipoti lini ??
daah uende kama mtu special jamaa alikiweza

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hatutaki watu wenye IQ kubwa geshi litakosa wa kuwatuma KO.
Tuliaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
Mguuujuu....
Sawaaaaa.
Turiaaaaaa!!!
 
Tunataka bandika bandua kama MT watu wanatoka ,wengine waingie kambini pasipoe ..wanakuwa wazito sana sema anyway nyama zipo chini tule mtori tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…