Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

wowote waje prior ingekua immigration ingekua poa sana .but kwa mtaa ulivo yeyote ni halali yangu kikubwa nichomoke na somo la mtaani huku
 
Kusini uku naona mapot walinzi wa mipaka wanapiga tizi la kufa mtu nikapita kwa YouTube Millard Ayo nkakuta kapost kumbe wapo wanajiweka fizikali fit. Nahisi ndo chanzo cha kuchelewa kozi ya askar wapya kwa upande wao

Kwako MLEVi Mmoja unalilolote la kuongozea au mdau yyt mwenye uelewa??
 
kijiandaa hakuhusiani na coz mze

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Vijana wale askari wanaolinda benki wanalipwa bei gani kwa siku?
 
Wanaolinda benk au taasisi kubwa zinazohusiana na fedha huwa ni polisi vitengo viwili FFU na GD...kuhusu malipo ni kwambaa mbali na salary na posho wanazopewa kila mwezi huwa kuna per diem wanapewa wakiwa on duty na inategemea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…