MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Fire wapo karibu sasa sijajua ni baada ya polisi au watakuja na polisi kwa pamojasource ipi hyo mkuu ili tuamini?tuamini??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fire wapo karibu sasa sijajua ni baada ya polisi au watakuja na polisi kwa pamojasource ipi hyo mkuu ili tuamini?tuamini??
Daaah hao nao wakileta tujaribu au tusikilizie tanpol tu?Fire wapo karibu sasa sijajua ni baada ya polisi au watakuja na polisi kwa pamoja
Jaribu kote utakapo angukia ndio huko huko nendaDaaah hao nao wakileta tujaribu au tusikilizie tanpol tu?
Jamaa wa ikulu bado haeleweki sijui kanipuna hela yanguhii lonja hajakupa yule jamaa wa ikulu kweli
Ndio tunasikilizia mkuuMe nlidhani jamaa wameshamwaga mazaga huku, kumbe mnachati Kwenye forum hii nyeti
Kweli manJaribu kote utakapo angukia ndio huko huko nenda
kijiandaa hakuhusiani na coz mzeKusini uku naona mapot walinzi wa mipaka wanapiga tizi la kufa mtu nikapita kwa YouTube Millard Ayo nkakuta kapost kumbe wapo wanajiweka fizikali fit. Nahisi ndo chanzo cha kuchelewa kozi ya askar wapya kwa upande wao
Kwako MLEVi Mmoja unalilolote la kuongozea au mdau yyt mwenye uelewa??
Yeah nilichomaanisha ni kuwa labda kuna vikosi vingine navyo vinafanya hvyo ndo maana imekuwa chanzo cha kozi kuchelewa na ndo maan nikasema kwa kusini tu nimeona..
posho ama salary?Vijana wale askari wanaolinda benki wanalipwa bei gani kwa siku?
Nafikiri utanielewa hpoVijana wale askari wanaolinda benki wanalipwa bei gani kwa siku?
Ni posho ile ya kila cku naskia c wanalipwa ni 10000 au imeongezeka??posho ama salary?
Inategemeana mzeeNi posho ile ya kila cku naskia c wanalipwa ni 10000 au imeongezeka??