Uongo mtupuAsubuhi ya leo kupitia EFM RADIO
kipindi cha chumvi na kina maulidi kitenge magazeti yametoa malalamiko ya polisi kuwa mishahara yao ni finyu mno plus traffic police wameondolewa posho ya pango.
BAADA ya dakika chache kuna jamaa akamtumia ujumbe wa sms Maulidi KITENGE kuwa wenzetu Jwtz private anaanza na malipo ya 1.5 M lkn sisi polic unaye anza kazi ni ni 500K .
wazee nikawaza sana inamana huko polisi hali ngumu kiasi kwamba jamaa wanalia lia namna hii ?
Tell herhakuna private wa jwtz anayeanza ma 1.5m wote wanaanza na 500+ k kinachoongezeka ni posho na lesheni(" na lesheni inaweza kukatwa vilevile kutokana na kikosi") tuu labda akiwa na degree ndo inaweza ikafika M ila mshahara hamna anaechukua Milion private anayeanza
Hatari mzeeMagereza usahili wao kigoma ulikuwa ni wa haki mpaka raha saana
so what?Basi ndio hivyo
Yule jamaa wa ikulu alipigwa pingu mbele zetu na RPC akakazia asitoke na sisi tukapewa nauli tukaambiwa tutapigiwa simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au ufutwe kwa muda
Hizo za watu wazitoNatafuta mbanga wa kuniingiza jw.. nasikia kuna bog la msata , january
Wanaanza kulipoti lini?Oda ya leo Msata
Wazalendo waanze kuripoti haraka.
amna kitu hapo jamaa kaamka nayo tuu hiyo[emoji23]Wanaanza kulipoti lini?
Nikamkabe jamaa wa ikulu
Inauma saanaamna kitu hapo jamaa kaamka nayo tuu hiyo[emoji23]
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Majaliwa alieokoa watu kwenye ajali naona atafungulia ajira za jeshi la zimamoto na uokoaji maana hawezi kupigishwa kozi mwenyewe so tuombe Mungu.
NB:ni mtizamo wangu