FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Uongo mtupuAsubuhi ya leo kupitia EFM RADIO
kipindi cha chumvi na kina maulidi kitenge magazeti yametoa malalamiko ya polisi kuwa mishahara yao ni finyu mno plus traffic police wameondolewa posho ya pango.
BAADA ya dakika chache kuna jamaa akamtumia ujumbe wa sms Maulidi KITENGE kuwa wenzetu Jwtz private anaanza na malipo ya 1.5 M lkn sisi polic unaye anza kazi ni ni 500K .
wazee nikawaza sana inamana huko polisi hali ngumu kiasi kwamba jamaa wanalia lia namna hii ?