southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
duuh[emoji1]Tulisema huu uzi uachwe
Hatimaye imetimiaMajaliwa alieokoa watu kwenye ajali naona atafungulia ajira za jeshi la zimamoto na uokoaji maana hawezi kupigishwa kozi mwenyewe so tuombe Mungu.
NB:ni mtizamo wangu
Zimetoka ?Hatimaye imetimia
Zimamoto wametoa leo...ila hvyo vigezo sio poaZimetoka ?
Zimamoto wametoa leo...ila hvyo vigezo sio poaZimetoka ?
Zinapatikana wapi au nitumie mkuuZimamoto wametoa leo...ila hvyo vigezo sio poa
Sawa kaka kila la kheri kama una hvyo vigezoZinapatikana wapi au nitumie mkuu
Tuombe Mungu na vyombo vingine watoe maana sio kwa vigezo hvyo walivyosema.Hatimaye imetimia
Hivi vigezo humu ndani sidhani kama kuna mtu anatoboa [emoji3]Hilo hapo... Zimamoto, kila la heri.View attachment 2426002View attachment 2426004View attachment 2426005
Jw hyo lonja ya February nilisikia wiki iliyopita.Hivi vigezo humu ndani sidhani kama kuna mtu anatoboa [emoji3]
Wamezingua sana sema nini kamanda subirini tu polisi mtapata tu
Sema kwa lonja nilizopata ni Febuari mwakani polisi wanakuja na jwtz tena
February mbali aise 😅Hivi vigezo humu ndani sidhani kama kuna mtu anatoboa [emoji3]
Wamezingua sana sema nini kamanda subirini tu polisi mtapata tu
Sema kwa lonja nilizopata ni Febuari mwakani polisi wanakuja na jwtz tena
Ndio nashangaa hii ronja mbna ya mbaliJw hyo lonja ya February nilisikia wiki iliyopita.
Hapo umeongeaaHivi vigezo humu ndani sidhani kama kuna mtu anatoboa [emoji3]
Wamezingua sana sema nini kamanda subirini tu polisi mtapata tu
Sema kwa lonja nilizopata ni Febuari mwakani polisi wanakuja na jwtz tena
Wapo Op Mabeyo makambini.. labda ndio wanaotafutwa!!![emoji23]Sijawahi iona kwa kweli
Sio zamu yetuWapo Op Mabeyo makambini.. labda ndio wanaotafutwa!!![emoji23]
Mbali kinoma kikubwa jitunze tu mf. Tunza damu, usije pata kesi ya kulazwa police au kupata ajali itayokupa ulemav.Ndio nashangaa hii ronja mbna ya mbali
Vijana kwenye kutunza damu hapo ndio kipengele..tunacheza rafu sanaMbali kinoma kikubwa jitunze tu mf. Tunza damu, usije pata kesi ya kulazwa police au kupata ajali itayokupa ulemav.
[emoji23][emoji23][emoji23]sure kama me apa nilipo natumia PEP niliuza mechi na nimeanza juzi dozi ya 30days..Vijana kwenye kutunza damu hapo ndio kipengele..tunacheza rafu sana