Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Umesomq tangazo?Wakuu hivi hiyo post ya jeshi la zima moto maombi yanatumwa katika email au kwa njia ya posta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesomq tangazo?Wakuu hivi hiyo post ya jeshi la zima moto maombi yanatumwa katika email au kwa njia ya posta?
Nimesoma. Nisaidie jibu ya nilichouliza kiongozi itapendeza
Sawa kiongozi.Boss kuna email umeona imeandikwa kwenye tangazo kwamba utumie hiyo? Msiforce vitu ambavyo havipo. Andika barua tuma posta.
We ni korokoroni?Wakuu hivi hawa askari wapya wa jezhi la polisi wakianza kazi kuna vijipesa wanakopeshwa ama vip??
Ndio. Unataka uwakope au?Wakuu hivi hawa askari wapya wa jezhi la polisi wakianza kazi kuna vijipesa wanakopeshwa ama vip??
Kaka acha basi unafanya jumapili yangu iishe vzuriPolisi wakati wowote wanatema mzigo stay attention guys..
Tuombe Mungu kama nilivyosikia itakuwa kweli maana hata vigezo nmesikia sio vigumu sasa kilichobaki ni kumuomba Mungu abariki.Kaka acha basi unafanya jumapili yangu iishe vzuri
Amin ..na iwe hvyo tunaamini mambo yatakua poaTuombe Mungu kama nilivyosikia itakuwa kweli maana hata vigezo nmesikia sio vigumu sasa kilichobaki ni kumuomba Mungu abariki.
Yeah na kuna mtu sikumbuki Sijui ni umu alikuwa anaulizia kozi ya ofsa cadet ni lini nmepata habari wameshaandikishwa new ofsa wataopiga koziAmin ..na iwe hvyo tunaamini mambo yatakua poa
vp ujapata za msata maana Bachelor OG anaweza mfunga jamaa wa ikulu[emoji23]Yeah na kuna mtu sikumbuki Sijui ni umu alikuwa anaulizia kozi ya ofsa cadet ni lini nmepata habari wameshaandikishwa new ofsa wataopiga kozi
[emoji16][emoji28]uyo jamaa me nshampanga aache mapepe kwamaana toka uyo mtu wake wa ikulu alipochukua pesa hakuna kozi iliyopigwa mpaka sasa, Sasa yeye kila mahali ni kumsemea tu mbovu anapaswa ajipe imani kama kutakuwa na bogi na yeye awepo.vp ujapata za msata maana Bachelor OG anaweza mfunga jamaa wa ikulu[emoji23]
daah wale jamaa waasi waliosamehewa wapo uzalendo miez 9 sahiz na millitary science wameenda wiki iliyopita[emoji16][emoji28]uyo jamaa me nshampanga aache mapepe kwamaana toka uyo mtu wake wa ikulu alipochukua pesa hakuna kozi iliyopigwa mpaka sasa, Sasa yeye kila mahali ni kumsemea tu mbovu anapaswa ajipe imani kama kutakuwa na bogi na yeye awepo.
Btw nilisikia mwezi wa pili mwakani ndo Jw watacheka..
Tpdf auYeah na kuna mtu sikumbuki Sijui ni umu alikuwa anaulizia kozi ya ofsa cadet ni lini nmepata habari wameshaandikishwa new ofsa wataopiga kozi
YeahTpdf au