southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Wameapa tayali[emoji3][emoji3]??mnalionaje baka la zimamoto[emoji1]View attachment 2426538
Kuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizo[emoji23][emoji23][emoji23]sure kama me apa nilipo natumia PEP niliuza mechi na nimeanza juzi dozi ya 30days..
Wakiwa mafunzoni ndio wanavaa hiyo uniformmnalionaje baka la zimamoto[emoji1]View attachment 2426538
Mzee acha tu hii mara ya pili natumia PEP japo kidonge kimoja Lakin kinakereketa mwilini..Kuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizo
Huwa nazikimbia sana ..japo ni muelimishaji mzuri wa hayo masuala sanaMzee acha tu hii mara ya pili natumia PEP japo kidonge kimoja Lakin kinakereketa mwilini..
Apo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii.Huwa nazikimbia sana ..japo ni muelimishaji mzuri wa hayo masuala sana
Mpime huyo uliyeuza nae mechiKuna mechi nilicheza inanisumbua akili sana...PEP naziogopa sana hizo
Apo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii. View attachment 2426660
Dem hana wasiwasi kabisa kuhusu kupima kasema mm tu nikiwa tayali twende.Mpime huyo Mdada uliyeuza nae mechi
watu wa ngono[emoji23][emoji23]Apo iko kikopo nilimaliza mwezi wa 6 mwanzoni alaf juzi nmeenda tena kufata mzigo mwingine asee sahv ntavaa ata ndom mbilimbili sio kwa midonge hii. View attachment 2426660
Hyo nayo huwa ni mbinu nzuri ya kujitia moyoMpime huyo uliyeuza nae mechi
Ngoja tuone kama ni kweliJw hyo lonja ya February nilisikia wiki iliyopita.
Hapo hadi usaili uishe majina yatoke ni April ***** [emoji3] wakati huo kina kunguru wa Manzese ndio wanaapaFebruary mbali aise [emoji28]
Noma sana iyo kitu imenikondesha kinoma sifanyi tena Hadi mwakani[emoji119]watu wa ngono[emoji23][emoji23]
Mwaka huu Oljoro waliingia mwezi wa tatu wakaapa 30/10.Ngoja tuone kama ni kweli
Hatuna budi tutasubiri tuHapo hadi usaili uishe majina yatoke ni April ***** [emoji3] wakati huo kina kunguru wa Manzese ndio wanaapa
Wanangu mtasubiri sana mpka mchoke