Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuu hivi hawa askari wapya wa jezhi la polisi wakianza kazi kuna vijipesa wanakopeshwa ama vip??
 
vp ujapata za msata maana Bachelor OG anaweza mfunga jamaa wa ikulu[emoji23]
[emoji16][emoji28]uyo jamaa me nshampanga aache mapepe kwamaana toka uyo mtu wake wa ikulu alipochukua pesa hakuna kozi iliyopigwa mpaka sasa, Sasa yeye kila mahali ni kumsemea tu mbovu anapaswa ajipe imani kama kutakuwa na bogi na yeye awepo.

Btw nilisikia mwezi wa pili mwakani ndo Jw watacheka..
 
daah wale jamaa waasi waliosamehewa wapo uzalendo miez 9 sahiz na millitary science wameenda wiki iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…