sure sure mkuuMtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327
Kipengele (i)Wapendwa Sasa wale wa form four tunatumia sanduku la posta la Dodoma au unapo ombea maana maelezo yanasema uandike la Dodoma afu mpokeaji ni polisi wa mkoani kwako Sasa hapo inakaaje kitaalamu
Usihangaike sana brother.Dah safari hi nitatoboa kweli.. sifa zipo kikwazo jkt
Hapo jiongeze bro, lazma uwe na cv Yako uitume pamoja na mambo mengine.Hili swala la CV umelitoa wapi kaka mbona Kwenye viambatanisho hawajaorodhesha au wamesema wanataka watu wenye experience katika jeshi la polisi?
Soma Kwa umakini kipengele (iv)Kwahyo Kwa wenye fani mbalimbali wanatumaje maombi Yao.... Kwa kuscan na kutuma kwenye email ?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Leaving certificate Huwa zinatolewa hasa form 6 na serikali. Sijajua utaratibu Wa miaka hii ila wanahitaji zote form 4 & 6 hata kama ulipewa na shule yako kipindi unamalizaMbona serikali ina mda sana haitoi Leaving certificate
Yeah sasa hapo nafikiri swala linalowatatiza wengi tunazitumaje hizo doc kwenye email either unapiga picha then unazisend kwenye hyo email au unascan doc zote Afu unatuma....?Soma Kwa umakini kipengele (iv)View attachment 2439540
Maelezo yapo clear kabsa hamna sehemu umeambiwa Hilo kiambatanisho B upige picha hamna sehemu wamekwambia uscan.Yeah sasa hapo nafikiri swala linalowatatiza wengi tunazitumaje hizo doc kwenye email either unapiga picha then unazisend kwenye hyo email au unascan doc zote Afu unatuma....?
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hili swala nilisema huko juuMtu hajaambiwa atume nakala yoyote ya AFYA kutoka Kwa Daktari Wa serikali kwenda kwenye email ya polisi lakini Cha ajabu mtu anatuma hizo ni Dharau tu some maelekezo vzuri kabsa kwenye website Yao.
Angalia kwenye maelekezo vitu ulivyoambiwa uambatanishe.
Barua ya kuomba kazi
Wasifu wako (uzoefu- CV)
Cheti Cha chuo & transcript
Cheti Cha form 6 & leaving certificate
Cheti Cha form 4 & leaving certificate
Cheti Cha kuzaliwa.
Cheti Cha JKT.
Nakala ya kitambulisho Cha Taifa (NIDA)
Kiambatanisho B (Excel)
Hamna kingine ni alichosema zaidi ya haya niliyoandika hapo juu.
Fata maelekezo baadae ukikosa AJIRA unaanza kuitukana serikali wakati wewe mwenyewe unajipangia utaratibu wako Wa kutuma maombi ya kazi nje ya ulichotakiwa kufanya.
View attachment 2439327
Maisha kaka[emoji23] [emoji23]Watu wanapambana kuwa wanoko
Humu ndani kuna watu walikuwa mujibu wa sheria tunawafahamuNadhani Form six kama alipitia JKT Kwa kujitolea anaweza tumia cha From4 ila kama alipitia Mujibu WA sheria basi huyo asahau hizi ajira ni Kwa form4 Tu hasa waliopitia JKT Kwa kujitolea
Upo sahihi kabsa. [emoji1635][emoji120]Humu ndani kuna watu walikuwa mujibu wa sheria tunawafahamu
Waliondoka na uhamiaji , fire wengine magereza
Wamesema cheti cha jkt hawajasema jkt kujitolea
Nilichoelewa barua na vyeti lazima viwe kwenye PDF ndiyo utaweza kuvituma na isipokuwa form yakujaza ndio hupaswi kuiscanMaelezo yapo clear kabsa hamna sehemu umeambiwa Hilo kiambatanisho B upige picha hamna sehemu wamekwambia uscan.
Maelezo yako clear kabsa kipengele (iv)
Kuna Form six ambaye ameshapeleka maombi Kupitia cheti cha form fourNilichoelewa barua na vyeti lazima viwe kwenye PDF ndiyo utaweza kuvituma na isipokuwa form yakujaza ndio hupaswi kuiscan
S.l.p ya dodoma alaf barua utaiwasilisha kwa kamanda wa polisi wa mkoa na sio kama utumie slp ya mkoa uliopo.Wapendwa Sasa wale wa form four tunatumia sanduku la posta la Dodoma au unapo ombea maana maelezo yanasema uandike la Dodoma afu mpokeaji ni polisi wa mkoani kwako Sasa hapo inakaaje kitaalamu