MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafuS.l.p ya dodoma alaf barua utaiwasilisha kwa kamanda wa polisi wa mkoa na sio kama utumie slp ya mkoa uliopo.
Chini hiyo ya Dodoma
Maana barua imepitia kwake
Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa