Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

S.l.p ya dodoma alaf barua utaiwasilisha kwa kamanda wa polisi wa mkoa na sio kama utumie slp ya mkoa uliopo.
Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu

Chini hiyo ya Dodoma

Maana barua imepitia kwake

Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
 
Soma kipengele namba (i), wote watume Kwa anuani hiyo ilivyoandikwa hapo juu.

Usiweke usomi Wa darasani wakati maelekezo ya kupitia Kwa (K.K) hamna hapo.
IMG-20221206-WA0001.jpg
 
Soma kipengele namba (i), wote watume Kwa anuani hiyo ilivyoandikwa hapo juu.

Usiweke usomi Wa darasani wakati maelekezo ya kupitia Kwa (K.K) hamna hapo.View attachment 2439875
Kwenye kuandika barua ndio usomi huo ..maana ulijifunza darasani hukuzaliwa unajua kuandika barua vitu vidogo kama hivyo vina cost watu

Sema ni hawa polisi wengi sio wasomi wapo wapo tu hivi vitu hawajali pengine si ajabu hata ukiandika kwa kulipua hawana shida

Zamani sisi kwenye kuandika barua kuomba kazi au kujitolea kukosea tu kuandika barua kunakutoa kwenye mchezo

Anyway nawatakia maombi mema
 
Jamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba

Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita

Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
Kama anataka aende polisi kwa kigezo cha mshahara ..mwambie aache atateseka sana ,hizi kazi ni za kizalendo aise....apambane na masuala mengine uraiani ya kumuongezea kipato
 
Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu

Chini hiyo ya Dodoma

Maana barua imepitia kwake

Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
Kiprotocal za uandishi wa barua inatakiwa iandikwe k.k lakin kwa maelezo yao naona kama haihitaji hvyo sijui lakini..
 
Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu

Chini hiyo ya Dodoma

Maana barua imepitia kwake

Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
Mkuu umesahau muundo wa barua kwa ujumla!!

K.k huandikwa chini baada ya anwani ya mwandikiwa..

Kwa nilivyoliona tangazo, K.k haihitajiki!!!
 
Wakuu na hivi vyeti inatakiwa viwe kwenye pdf moja au unatuma kimoja kimoja NOTE:Excell haihusiki apo naombeni muongozo
 
Hili swala nilisema huko juu

Kwenye viambatanisho hawajataka fomu ya daktari wala barua ya utambulisho wala passport size Kama zamani wanavyosema

Ila watu wabishi
Nakushauri ambatanisha. Kipengele f cha tangazo kimetaka hivyo. Haikutoi damu ukiambatanisha. Ingawa watakupima pia wao na wameitaja kwenye tangazo peleka.
 
Kama anataka aende polisi kwa kigezo cha mshahara ..mwambie aache atateseka sana ,hizi kazi ni za kizalendo aise....apambane na masuala mengine uraiani ya kumuongezea kipato
Kama akipita na kupata ajira , mshahara wake utakuw zaidi ya huo. Na kuna posho zingine nje ya mshahara atapata.
 
Kingine je Kuna umuhimu wa kupiga muhuri wa mwana sheria kwenye vyeti kwa wale wa form 4
 
Sizungumzii mshahara au posho atakazokua anapata..mantinki yangu ni nature ya kazi ikiwemo majukumu
Kama akipita na kupata ajira , mshahara wake utakuw zaidi ya huo. Na kuna posho zingine nje ya mshahara atapata.
 
Kwa wale wataharamu baasha za mikoani tunaandika Nini kwenye bahasha naombeni jibu
 
Namanisha kwenye bahasha tunastaili kuandika kitugani kwa tunao enda kupeleka mikoani
 
Back
Top Bottom