Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Na kwale mliomaliza 2014 na 2015 msiache kuomba bado kigezo cha umri mnacho maana ktk hiyo miaka mpka sahivi hukosi 25 hata kama hamjamliza 2016 kama walivyosema we omba
Kuna wengne wamemaliza 2016 na wanamiaka 21 [emoji23]
 
Me nataka ni test mitambo na transcript ya chuo tuone mzigo utaitika au vip
 
Acha kushikiwa akili wewe dogo polisi inawasomi wengi wengine ni madokta wa falsafa,wahadhiri pia jaribu kwenda kwenye kambi ya polisi yoyote iliyokaribu yako kaulize elimu ya polisi mmoja mmoja halafu uje hapa utapatie mrejesho.Utapa diploma nyingi,form six, na digrii kadhaa na hata hao kidato cha 4 utawapata wenye alama nzuri tu na wenye uelewa wa mambo mengi.
 
Naona umedandia gari umechelewa hujui tumeanzia wapi mpka kuandika hivyo

Kwani tumekataa hamna wasomi Ndio form failures wapo kwani uongo na wengi ndio hao wanafanya mambo ya ajabu wanachafua uadilifu wa jeshi letu

Sio kwamba kuwa form failures ndio ufanye mambo ya hovyo wengi wako hivyo


Halafu mimi sio dogo ninaweza kuwa baba ako kuwa na adabu

Nikikisia sana we ni wa 94[emoji1787]


Nenda kachambe
 
Me nataka ni test mitambo na transcript ya chuo tuone mzigo utaitika au vip
Hapa sijakuelewa maana chuo unapewa cheti na results (academic) transcript complete


Kwa nini hutaki kutumia cheti unatumia transcript tu ?


Utakuja pigwa k.o
 
Huwez feli kma upo timamu kiakili,kma utafanya makao makuu usaili mchawi vigezo tu uwe complete [emoji817],ila mikoani janja janja nyingi mno
Kwaiyo mkuu kwenye usaili ni kupima afya na vyeti tu au kuna paper mnapiga
 
Kwaiyo mkuu kwenye usaili ni kupima afya na vyeti tu au kuna paper mnapiga
Pepa inategemea inaweza iwepo au isiwepo japo ni zuga zuga tu wale wa form 4 waliopo kambini wakujitolea waliboroga Sana usaili wengine hawajazaza ila walitoboa wameajiriwa sahiv oral mara nyingi wanaangalia unajua kusoma na kuandika, mengine ni bahati na rizk ya mtu na connection ila siyo kufaulu usaili
 
Documents zote unascan isipokuwa Kiambatanisho B ..unazicombine kwenye file moja ..namna ya kusave unasave kama Document file na sio PDF file ......ila zote zinakuwa kwenye file moja na sio separate
Naomba kuuliza kiambatanisho B pia tunacombine kwenye file Moja kama doc file?????
 
Naomba kuuliza mfano nina mdogo wangu hakupata matokeo mazuri awali kidato cha 4 alipata 0. Akaenda kurudia mtiani na akapata credit 3.

Akajisajili tena kama private candidate na kufanya mtiani na kufaulu vizuri.
Alienda JKT mujibu wa sheria na cheti anacho.

Swali je uyu mtu LEAVING CERTIFICATE atapeleka kipi katika kufanya maombi kama ayoo ya upolisi?
 
Mhhh hatari

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Caution
Form 4~mshahara laki nne ukijumlisha na malupu ni laki 6 hapo bado deductions za pssf na vingine
Form 6~mshahara laki tano ukijumlisha na malupulupu inafikia laki 6 na nuc mpaka 7, ila bado deductions
Shahada~mshahara na malupulupu hauzid laki 8 na hapo bado deductions ambapo utafikia kwenye laki 5 mpaka 6

Ukumbusho tu, msije mkajisahau mkajua mnaenda kula bata saana, tuulizeni sisi tunaokula joto ya jiwe huku
KARIBUNI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu wa kusajili vyeti vya degree kwa wale waliongilia na form 4 huko polisi ukoje ?


Maana nimeambiwa magereza wanazingua at least ukae hata miaka 5 ndio uvisajili usishtukiwe na ukimkuta mkuu wa gereza mnoko kazi huna tena
 
We
Utaratibu wa kusajili vyeti vya degree kwa wale waliongilia na form 4 huko polisi ukoje ?


Maana nimeambiwa magereza wanazingua at least ukae hata miaka 5 ndio uvisajili usishtukiwe na ukimkuta mkuu wa gereza mnoko kazi huna tena
Wewe ingia kwanza mengine ya utaratibu utayajua huko mbeleni. Cha msingi uingie kwenye system kwanza
 
Boss Mishahara ya degree inatofautiana. Hiyo uliyotaja hapo ni degree zingine. Degree za Engineering na Afya wana scale yao. Ila degree za afya ndio wanaongoza kula mpunga mrefu kwenye jeshi la polisi. Kwa mfano MD ni 1.5m kama scale tu ya serikali kwa madaktari.
 
Scale za shahada haiko ulivyo Sema, Wizara ya mambo ya ndani kuanzia intake zote za 2020 nakuendelea walifanya maboresho mtu mwenye shahada atalipwa mshahara kama scale ya degree inavyolipwa serikalini so kama n shahada ya MD watakulipa scale wanayolipwa MD wanapo anza kazi kama n mtu wa IT, sheria utalipwa ile scale ya serikali ambayo n scale TGS E then ndo posho zitafuata so utakuwa umewapiga wenzio wa serikalin ambao kuipata posho hadi itokee

Hapo bado Polisi Kuna vimadili visivyo.rasmi mtaani nazani vinajulikana[emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…