Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Huwez feli kma upo timamu kiakili,kma utafanya makao makuu usaili mchawi vigezo tu uwe complete [emoji817],ila mikoani janja janja nyingi mnoVp kuhusu saili zao huwa zipoje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwez feli kma upo timamu kiakili,kma utafanya makao makuu usaili mchawi vigezo tu uwe complete [emoji817],ila mikoani janja janja nyingi mnoVp kuhusu saili zao huwa zipoje mkuu
Kuna wengne wamemaliza 2016 na wanamiaka 21 [emoji23]Na kwale mliomaliza 2014 na 2015 msiache kuomba bado kigezo cha umri mnacho maana ktk hiyo miaka mpka sahivi hukosi 25 hata kama hamjamliza 2016 kama walivyosema we omba
Acha kushikiwa akili wewe dogo polisi inawasomi wengi wengine ni madokta wa falsafa,wahadhiri pia jaribu kwenda kwenye kambi ya polisi yoyote iliyokaribu yako kaulize elimu ya polisi mmoja mmoja halafu uje hapa utapatie mrejesho.Utapa diploma nyingi,form six, na digrii kadhaa na hata hao kidato cha 4 utawapata wenye alama nzuri tu na wenye uelewa wa mambo mengi.Kwenye kuandika barua ndio usomi huo ..maana ulijifunza darasani hukuzaliwa unajua kuandika barua vitu vidogo kama hivyo vina cost watu
Sema ni hawa polisi wengi sio wasomi wapo wapo tu hivi vitu hawajali pengine si ajabu hata ukiandika kwa kulipua hawana shida
Zamani sisi kwenye kuandika barua kuomba kazi au kujitolea kukosea tu kuandika barua kunakutoa kwenye mchezo
Anyway nawatakia maombi mema
Naona umedandia gari umechelewa hujui tumeanzia wapi mpka kuandika hivyoAcha kushikiwa akili wewe dogo polisi inawasomi wengi wengine ni madokta wa falsafa,wahadhiri pia jaribu kwenda kwenye kambi ya polisi yoyote iliyokaribu yako kaulize elimu ya polisi mmoja mmoja halafu uje hapa utapatie mrejesho.Utapa diploma nyingi,form six, na digrii kadhaa na hata hao kidato cha 4 utawapata wenye alama nzuri tu na wenye uelewa wa mambo mengi.
Huyo alichelewa kuanza shule mpka sasa ni 26 [emoji3]Kuna wengne wamemaliza 2016 na wanamiaka 21 [emoji23]
Hapa sijakuelewa maana chuo unapewa cheti na results (academic) transcript completeMe nataka ni test mitambo na transcript ya chuo tuone mzigo utaitika au vip
Kwaiyo mkuu kwenye usaili ni kupima afya na vyeti tu au kuna paper mnapigaHuwez feli kma upo timamu kiakili,kma utafanya makao makuu usaili mchawi vigezo tu uwe complete [emoji817],ila mikoani janja janja nyingi mno
Pepa inategemea inaweza iwepo au isiwepo japo ni zuga zuga tu wale wa form 4 waliopo kambini wakujitolea waliboroga Sana usaili wengine hawajazaza ila walitoboa wameajiriwa sahiv oral mara nyingi wanaangalia unajua kusoma na kuandika, mengine ni bahati na rizk ya mtu na connection ila siyo kufaulu usailiKwaiyo mkuu kwenye usaili ni kupima afya na vyeti tu au kuna paper mnapiga
Naomba kuuliza kiambatanisho B pia tunacombine kwenye file Moja kama doc file?????Documents zote unascan isipokuwa Kiambatanisho B ..unazicombine kwenye file moja ..namna ya kusave unasave kama Document file na sio PDF file ......ila zote zinakuwa kwenye file moja na sio separate
Mhhh hatariNaomba kuuliza mfano nina mdogo wangu hakupata matokeo mazuri awali kidato cha 4 alipata 0. Akaenda kurudia mtiani na akapata credit 3.
Akajisajili tena kama private candidate na kufanya mtiani na kufaulu vizuri.
Alienda JKT mujibu wa sheria na cheti anacho.
Swali je uyu mtu LEAVING CERTIFICATE atapeleka kipi katika kufanya maombi kama ayoo ya upolisi?
Utaratibu wa kusajili vyeti vya degree kwa wale waliongilia na form 4 huko polisi ukoje ?Caution
Form 4~mshahara laki nne ukijumlisha na malupu ni laki 6 hapo bado deductions za pssf na vingine
Form 6~mshahara laki tano ukijumlisha na malupulupu inafikia laki 6 na nuc mpaka 7, ila bado deductions
Shahada~mshahara na malupulupu hauzid laki 8 na hapo bado deductions ambapo utafikia kwenye laki 5 mpaka 6
Ukumbusho tu, msije mkajisahau mkajua mnaenda kula bata saana, tuulizeni sisi tunaokula joto ya jiwe huku
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una taaluma, utapiga paper linalokuhusu. Written na oral/kwa vitendoivi saili zao huwa zipoje mkuu tupe ata lonja kidogo
Wewe ingia kwanza mengine ya utaratibu utayajua huko mbeleni. Cha msingi uingie kwenye system kwanzaUtaratibu wa kusajili vyeti vya degree kwa wale waliongilia na form 4 huko polisi ukoje ?
Maana nimeambiwa magereza wanazingua at least ukae hata miaka 5 ndio uvisajili usishtukiwe na ukimkuta mkuu wa gereza mnoko kazi huna tena
Boss Mishahara ya degree inatofautiana. Hiyo uliyotaja hapo ni degree zingine. Degree za Engineering na Afya wana scale yao. Ila degree za afya ndio wanaongoza kula mpunga mrefu kwenye jeshi la polisi. Kwa mfano MD ni 1.5m kama scale tu ya serikali kwa madaktari.Caution
Form 4~mshahara laki nne ukijumlisha na malupu ni laki 6 hapo bado deductions za pssf na vingine
Form 6~mshahara laki tano ukijumlisha na malupulupu inafikia laki 6 na nuc mpaka 7, ila bado deductions
Shahada~mshahara na malupulupu hauzid laki 8 na hapo bado deductions ambapo utafikia kwenye laki 5 mpaka 6
Ukumbusho tu, msije mkajisahau mkajua mnaenda kula bata saana, tuulizeni sisi tunaokula joto ya jiwe huku
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile
Scale za shahada haiko ulivyo Sema, Wizara ya mambo ya ndani kuanzia intake zote za 2020 nakuendelea walifanya maboresho mtu mwenye shahada atalipwa mshahara kama scale ya degree inavyolipwa serikalini so kama n shahada ya MD watakulipa scale wanayolipwa MD wanapo anza kazi kama n mtu wa IT, sheria utalipwa ile scale ya serikali ambayo n scale TGS E then ndo posho zitafuata so utakuwa umewapiga wenzio wa serikalin ambao kuipata posho hadi itokeeCaution
Form 4~mshahara laki nne ukijumlisha na malupu ni laki 6 hapo bado deductions za pssf na vingine
Form 6~mshahara laki tano ukijumlisha na malupulupu inafikia laki 6 na nuc mpaka 7, ila bado deductions
Shahada~mshahara na malupulupu hauzid laki 8 na hapo bado deductions ambapo utafikia kwenye laki 5 mpaka 6
Ukumbusho tu, msije mkajisahau mkajua mnaenda kula bata saana, tuulizeni sisi tunaokula joto ya jiwe huku
KARIBUNI
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kujibiwa pleaseNaomba kuuliza kiambatanisho B pia tunacombine kwenye file Moja kama doc file?????