Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi uhamiaji waliposema watatoa kipaumbele ya fani ya udereva,nikituma maombi kwa cheti cha degree na udereva ila sina jkt nitatoboa kweli ?
Hutoboi,madereva wenye cheti cha Jkt wapo kibao me nina marafik zangu wanne wote wameomba udereva hao ninao wajua mimi je nissiyo wajua
 
MD walishachukuliwa nadhan washaanza course tayari.
Kuna washkaj naowajua mmoja ni mwalim aliehitim degree kaapa mwaka huu Msata mwezi wa 6nahisi then mwezi huu kaenda Afsa Cadet mwningin Form6 science anaenda nje ya nchi. Mmoja tu pekee alieapa mwezi wa 10 Oljoro yeye ndo yupoyupo naona kutokana na elim yake chini ya form6
 
Hata mm nikitamani kujua uhamiaji hata kuna alieitwaga hata usaili maana mwaka huu si zikitokaga cjui january ile muwe mnatupa feedback ili tupate moyo
Boss ni vile watu hatupendani tu na kila mtu anapambana na kilicho chake ila humu JF kuna watu wengi sana wanaoweza kutusaidia ila ndio hivyo, alieshiba ....
 
Boss ni vile watu hatupendani tu na kila mtu anapambana na kilicho chake ila humu JF kuna watu wengi sana wanaoweza kutusaidia ila ndio hivyo, alieshiba ....
Daah kk hii kitu sio poa kbs, Imefikia kila mbuzi anashiba kwa kamba yake. Mbaya zaidi hata motisha hakuna
 
Back
Top Bottom