MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Utaharibu hela yako bure tu kiongoziSawa,nitajaribu bahati kaka
Hutoboi,madereva wenye cheti cha Jkt wapo kibao me nina marafik zangu wanne wote wameomba udereva hao ninao wajua mimi je nissiyo wajuaHivi uhamiaji waliposema watatoa kipaumbele ya fani ya udereva,nikituma maombi kwa cheti cha degree na udereva ila sina jkt nitatoboa kweli ?
MD walishachukuliwa nadhan washaanza course tayari.tatizo jwtz wnapenda kuchukua walioko makambini na mujibu wa sheria,tuliokitaa uwe na fani hasa MD
Kuna washkaj naowajua mmoja ni mwalim aliehitim degree kaapa mwaka huu Msata mwezi wa 6nahisi then mwezi huu kaenda Afsa Cadet mwningin Form6 science anaenda nje ya nchi. Mmoja tu pekee alieapa mwezi wa 10 Oljoro yeye ndo yupoyupo naona kutokana na elim yake chini ya form6MD walishachukuliwa nadhan washaanza course tayari.
ndio utakao kupeleka ccp mkuuHuu unaweza kuwa ndio uzi wangu niliochangia mara nyingi zaidi humuJF
Tukutane Boma ,Mkinga 😂😂😂ndio utakao kupeleka ccp mkuu
Watu wanatoboa sema wanaondoka kimya kimya.Wadau mpo ? ,Aisee naomba kuuliza ,vipi hizi ajira za uhamiaji zile zilizopita hivi kuna mtu yeyote humu JF alitoboa kweli ?
Hata mm nikitamani kujua uhamiaji hata kuna alieitwaga hata usaili maana mwaka huu si zikitokaga cjui january ile muwe mnatupa feedback ili tupate moyoWatu wanatoboa sema wanaondoka kimya kimya.
Hii nzuri, hawakuwa na coNnecti0n!??[emoji848]Wapo ,me kuna jamaa zangu wawili walitoboa ,,..saiv wanakula tu Maisha
Boss ni vile watu hatupendani tu na kila mtu anapambana na kilicho chake ila humu JF kuna watu wengi sana wanaoweza kutusaidia ila ndio hivyo, alieshiba ....Hata mm nikitamani kujua uhamiaji hata kuna alieitwaga hata usaili maana mwaka huu si zikitokaga cjui january ile muwe mnatupa feedback ili tupate moyo
Daah kk hii kitu sio poa kbs, Imefikia kila mbuzi anashiba kwa kamba yake. Mbaya zaidi hata motisha hakunaBoss ni vile watu hatupendani tu na kila mtu anapambana na kilicho chake ila humu JF kuna watu wengi sana wanaoweza kutusaidia ila ndio hivyo, alieshiba ....
Imefikia hatua mtu unaomba ila unajua kabisa hapa kupata probability ni 0.0000000001Daah kk hii kitu sio poa kbs, Imefikia kila mbuzi anashiba kwa kamba yake. Mbaya zaidi hata motisha hakuna
Its So SadImefikia hatua mtu unaomba ila unajua kabisa hapa kupata probability ni 0.0000000001