Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa wale wenye vipaji maalum/ wanamichezo kwa Dar, usaili ulikua leo kwa Dar pale Chuo cha Polisi, Kurasini
 
Niliona kwenye bajeti ya mwezi wa 6 kwenye vyombo vya ulinzi waliosema wanahitaji watu ni pamoja na polisi, magereza, uhamiaji na zimamoto ila jwtz sikuona kama wao wanataka watu sijuh imekuaje anyway kuhusu uhamiaji wao uwa hawachukui watu kwa waliopiga polisi kozi kwl????
 
JWTZ lazima liandikishe Askari.Uhamiaji hawachukui Polisi ila zamani PT na UT walikuwa wakifanya kozi pamoja CCP pale wakawa wanatofautiana masomo ya darasani tu.
 
Hiv
Kama nafasi ni zaidi ya 3200 na elimu kuanzia astashahada mpaka shahada hawazidi 200 ina maana kidato cha nne na sita watakuwa zaidi ya 3000.
Hiv na wale wataalamu wa afya polisi, baada ya kozi na wenyewe wanapigishwa jalamba kwanza kwenye malindo au wanapelekwa kuhudumia kwenye kada zao.....maana kuna mdau mmoja alisema hapa lazima upigike kwanza kabla ya kwenda kutumikia kada yako.Ni kweli?
 
Mostly michezo, Karate, Taekwondo, riadha, soka, basketball, ngumi, handball, volleyball. Makocha wa kila mchezo tajwa toka Jkt Mgulani pale ndo walisimamia usaili.

Lakini kwenye lile tangazo sijaona kama walitaka wenye vipaji pia
 
Lazima
 
Huo ndiyo ukweli,wewe ni Askari unaogopa lindo?

Na hii ni moja ya sababu ya wasomi kutokupewa kipaumbele kwenye nafasi za ajira maana mko too selective sana na nidhamu ya kijeshi huwa haiwaingii vizuri hata mfungiwe jeshini miaka mingi.
 
Wahusika walipewa tangazo, watu wa academies za mpira, timu za wanawake za mpira zenye mabinti wadogo, boxing clubs, dojangs za Taekwondo, etc

Walihitajika wanamichezo hasa na sio blah blah
Watu wanategemea kila kitu waambiwe,nafasi kama hizi zikishatangazwa kuna nafasi nyingine hutolewa kwa makundi mbalimbali,kuna wakubwa hupewa nafasi kadhaa,kuna makundi pia kama hiyo ya vipaji maalum nk.
 
Watu wanategemea kila kitu waambiwe,nafasi kama hizi zikishatangazwa kuna nafasi nyingine hutolewa kwa makundi mbalimbali,kuna wakubwa hupewa nafasi kadhaa,kuna makundi pia kama hiyo ya vipaji maalum nk.
Ndo hivyo mkuu, sifa wepesi tu.

Na hii itakua kwa majeshi yote, kama two weeks ago kulikua na kikao kati ya waziri wa michezo na makamanda wa michezo toka majeshi yote Jwtz, fire, polisi, uhamiaji.

Wanataka majeshi yetu yawe yanashiriki mashindano ya majeshi kimataifa, hivyo wanamichezo wanahitajika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…