Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Uhamiaji nafasi ni chache sana aisee ukilinganisha na idadi kubwa ya kozi walizoziambatanisha.

Kama hauna mtu kule idarani huenda mambo yanaweza kua magumu na ukapigwa KO mapema tu.

Polisi naona possibility ni kubwa ya kupata kwasababu huwa wanachukua watu wengi kidogo,Hapa penyewe unaweza kucheza pata potea.

Ila kikubwa ni kutokata tamaa na kumtumainia Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ 🤣🤣. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.
 
Watu wa degree ndio kuna ushindani mkubwa
 
Back
Top Bottom