Safi sana mkuu... Kwenye usaili wa polisi lazima nikutafutesafari hii tunachomoka sote humu ndani,mchawi Jkt tu kma unalo tunasepa ndugu zangu
Kama umesoma nilichoandika vizur basi utaona kuwa huko kuna wataalamu wa taaluma mbalimbali not only medicsSasa utaenda tu forensic kama sio forensic scientists au medics?
Dah Mbanga wangu ni Mungu pekee .Nikipata huku nitashukuru, nikikosa nitashukuru pia. Yote heri.Ngumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Dah kwa hiyo wakituita usaili ni kama twaenda poteza muda 😂😂😂😂 tusio na mibuyuNgumu kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
UsijisumbueSina jkt
Hamna mkuu nafasi yako ipo na Mungu ndiye anayejua. Mbele yako,never lose hope ,hata kama kuna connection siyo wote wataenda wenye connection neverDah kwa hiyo wakituita usaili ni kama twaenda poteza muda 😂😂😂😂 tusio na mibuyu
Usimpe moyo kwa vitu vigumu kma hivyo kigezo mama ni Jktjaribu bahati yako huwezi jua
Mimi kama ningekuwa na connection saivi ningekuwa na ajira piaHii nchi imekua ngumu.
Everywhere ni connection.
God forbid!![emoji3064]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo ndugu yangu.Mimi kama ningekuwa na connection saivi ningekuwa na ajira pia
Mkuu hujapata lonja kua inatoka lini.ngoja tusubir pdf itoke tuone itakuwaje
mkuu sipo jikoni wala mbuyu hpa namtegemea aliye juu tu, labda tumulizie wayne ogoa
Hapa sipo mahala pake heshimu lengo la uziKwa walioko Dsm au bagamoyo naomba ambae anauza mbuzi wakubwa kwa bei nzuri anipm please [emoji120]
Mkuu Xmonster vipi ume apply kote kote?Hapa sipo mahala pake heshimu lengo la uzi
Hizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ 🤣🤣. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.Uhamiaji nafasi ni chache sana aisee ukilinganisha na idadi kubwa ya kozi walizoziambatanisha.
Kama hauna mtu kule idarani huenda mambo yanaweza kua magumu na ukapigwa KO mapema tu.
Polisi naona possibility ni kubwa ya kupata kwasababu huwa wanachukua watu wengi kidogo,Hapa penyewe unaweza kucheza pata potea.
Ila kikubwa ni kutokata tamaa na kumtumainia Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kote kote mkuuMkuu Xmonster vipi ume apply kote kote?
Yaani polisi na uhamiaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa degree ndio kuna ushindani mkubwaHizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ 🤣🤣. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.