Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wapiganaji watarajiwa wakipambania kutuma barua EMS.
Mungu awabariki sana mkapate kutimiza kile hitajio la mioyo yenu.
20221223_160341.jpg
 
Hii kazi ya afisa uhamiaji atakaepata ana bahati kwelikweli. Kuna wakujitolea wengi Wana sifa na vigezo vinavyohitajika Kama ilivyoainishwa. Hapo bado sijazungumzia mujibu wa sheria ambao walianza kwenda tangu 2013, Sasa hivi ndo wenye shahada mbalimbali. Hapo bado Zanzibar nao watapewa nafasi zao. Bila kusahau kubalance jinsia. Yani ukipenya uhamiaji we una bahati Sana!!!!!
 
Yaani hapo ukisikia ngumu kama ngamia kupenya katika tundu la sindano.

Sema hapa issue ni 🌳
 
Hii kazi ya afisa uhamiaji atakaepata ana bahati kwelikweli. Kuna wakujitolea wengi Wana sifa na vigezo vinavyohitajika Kama ilivyoainishwa. Hapo bado sijazungumzia mujibu wa sheria ambao walianza kwenda tangu 2013, Sasa hivi ndo wenye shahada mbalimbali. Hapo bado Zanzibar nao watapewa nafasi zao. Bila kusahau kubalance jinsia. Yani ukipenya uhamiaji we una bahati Sana!!!!!
mkuu kama umewahi hudhuria pepa za utumishi ,nyomi ya watu inavokua kubwa huku mkigombania post 3 uwezi shangaa kugombania 500-post. kikubwa uthubutu na dua
 
Hii kazi ya afisa uhamiaji atakaepata ana bahati kwelikweli. Kuna wakujitolea wengi Wana sifa na vigezo vinavyohitajika Kama ilivyoainishwa. Hapo bado sijazungumzia mujibu wa sheria ambao walianza kwenda tangu 2013, Sasa hivi ndo wenye shahada mbalimbali. Hapo bado Zanzibar nao watapewa nafasi zao. Bila kusahau kubalance jinsia. Yani ukipenya uhamiaji we una bahati Sana!!!!!
Ukweli unaoumiza huu,[emoji23][emoji23]yani kma siyo baba kantuma inahitaji Dua na bahati Sana
 
Kuna watu mna 🌳 ya uhakika ila mnatuchora jamani tusibaniane, mtaani sio kuzuri, chukua hata wawili jf hapa utakuwa umesaidia wengi nyuma yake, na mambo yako yatafunguliwa zaidi na zaid.

Dah ujobless unanipeleka race sana
 
Back
Top Bottom