Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mabio nadhan kote tu poti
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanza mabio
 
uhamiaji naona shumbwela tu
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanzashumbwel
 
Makamanda tutunze sana damu kwa kweli na kama una ndoto ya kua askari ishi kiaskari hata uraiani mabio iwe ndo key yako
Dah jana nimedonate blood muhimbili km nusu lita hvi. Kwhyo sjatunza damu au sio.au ilimaanisha nin?[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom