spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Nimekufata na pm matron tupeane lonja izoAmina , tupate sote this time [emoji120]
Wataiona wakifika😂😂😂Umewahi kuiona scale ya PT?
Mabio nadhan kote tu potiNa CCP mtakimbia Mabio sio poa 😂😂😂
Sawa , karibuNimekufata na pm matron tupeane lonja izo
Hujajibu pm matronSawa , karibu
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.Mabio nadhan kote tu poti
Idadi ya wanawake wanaoomba huwa sio nyingi so kama umeomba na una vigezo vote...subiri tu kuitwa kwenye usailiWee usinambie [emoji4]
Sijui kwingine ila CCP ni kuamka saa Sita usiku . Mnapiga roll call hadi saa 8 hivi then mnaanza Mabio. Mkirudi mnahakikiwa tena. So yan mkiamka hiyo saa 6 hiyo unaweza usilale tena mpaka jioni. Mkienda pori ndio Mabio yanakuwa saa 12 asubuhi.
Huko Uhamiaji sijajua kama nao ni kuamka saa 6 usiku na kuanzashumbwel
Mwaka Jana nilikosa koteIdadi ya wanawake wanaoomba huwa sio nyingi so kama umeomba na una vigezo vote...subiri tu kuitwa kwenye usaili
Uliomba kwa proffession? Au form4/6?Mwaka Jana nilikosa
Dah jana nimedonate blood muhimbili km nusu lita hvi. Kwhyo sjatunza damu au sio.au ilimaanisha nin?[emoji23][emoji23]Makamanda tutunze sana damu kwa kweli na kama una ndoto ya kua askari ishi kiaskari hata uraiani mabio iwe ndo key yako
Kwa proffession polisi nikakosa , nikaomba PCCB kwa form 6 nikaenda usaili nikakosa.Uliomba kwa proffession? Au form4/6?
God is good. 2023 itakuw nafasi yako.
Hpn lkn kaka kwa mzigo nliokapigishw nahis huko kutakuwa na ahueni yake,Amin hiliUmewahi kuiona scale ya PT?
Oh pole. Za PCCB nazo zinakuja.Kwa proffession polisi nikakosa , nikaomba PCCB kwa form 6 nikaenda usaili nikakosa.
Mabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yanNa CCP mtakimbia Mabio sio poa [emoji23][emoji23][emoji23]
PCCB zinakuaga chache , alafu watu kibaoOh pole. Za PCCB nazo zinakuja.
Tengeneza tu pumzi kijana itakusaidiaMabio km ya kilomita ngapi kaka? Maan kitaa jion napiga km 4 km kwenda na kurudi,sku nyngn 3,nyngn 2 ndio hvo yan
We usiitunzee babaDah jana nimedonate blood muhimbili km nusu lita hvi. Kwhyo sjatunza damu au sio.au ilimaanisha nin?[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787]We usiitunzee baba