Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mimi nilidhani huku kuna asali zaidi
 
Madoja hawakosekani ila udoji kwa akili. Kufukuzwa ni chap sana. Na nafasi yako kuzibwa ni chap sana.Yani unafukuzwa leo. Kesho kutwa watu wanakuja kureport.
Nawaza tu unavimba nadoji kwa akili
Mara siku hiyo picha linaungua [emoji1787]


Mimi naona bora ujile tu ..kitaa sio poa


Au mshua ako akiwa ni mkuu wa chuo cha ccp we doji tu [emoji3]
 
Mmezungumzia ish ya kudoje kuna mwana alikuwa anakata gogo mbele alaf anatengeneza kichaka nyuma yake analala maafande wakipita wanaona kinyaa wanasepa yule mwamba siku anadakwa maafande wenyewe walicheka sana alaf kilichofata kwenye foleni ya msosi alipewa yeye wa kwanza msosi mwingiiiii na water moyo uelee baba mbona dunia aloiona chungu Vasco Da Gama mixer kukwepa ndege alirudi anachechemea kama dem kavunjwa bK.

Mwingine alitoroka kaenda kwao mzazi kamkataa kamrudisha kambini kufika akasimamishwa mbele aimbe chenja ya
"Asiye penda jeshi atolokee saa8 za usiku......[emoji16]"

Kuna washkaji walitoka kambi ya wadada Ruvu maana walikuwa wengi sana ikabidi 200 waende Oljoro 200 makuyuni kufika afande alienda wapokea na gari lake wao mbele wana kimbia akipiga horn wanalala akipiga hon mbio ndefu then chini then wakala intro nyingine uwanja wa mbigili hadi wanamaliza 3days 6 walitoroka.

Kuna Mzee aliwaleta watt wake ngorongoro na serengeti ile wanafika wanatembea na mabeg yao kama wanaenda kutalii wakaambiwa eheeee subirini ukouko mzee ndo akaenda then wao wakabebeshwa mabeg kichwani waende mwendo wa kichura ngorongoro alitoboa serengeti alibaki kutoa michozi tu Mzee wao alidhani masikhara anakenuakenua meno maafande hawacheki na mutu full kukaza hakuna kuja kama unafanya shindano la miss.

Kambi imezungukwa na wanyama kama wote siku hyo nimedojr na washkaji zangu wawili baada ya msosi wa jion tukaona tuchelewe Hadi mida ya rolcall wee zikaanza pigwa filimbi wadudu/kuruti wa Mungu wote twende tukafoleni haraka maana wanyama wamezagaa karib na kambi hasahasa tembo(sikuwahi jua tembo ni mnyama hatari mpaka niliposikia story zake kwa maafande) basi bwana sisi wa3 tupo chaka tulitembea tumeshikana mikono kama wanawake uku tunalia Mungu asaidie tufike Kombania salama[emoji23][emoji23]ile siku sitosahau tunafika tunavibrate miguu kama vile tumepiga zoezi la kwenda Cuba[emoji16][emoji16]

I MISS THOSE DAYS MAKUYUNI 839KJ MUJIBU WA SHERIA.
 
Nawaza tu unavimba nadoji kwa akili
Mara siku hiyo picha linaungua [emoji1787]


Mimi naona bora ujile tu ..kitaa sio poa


Au mshua ako akiwa ni mkuu wa chuo cha ccp we doji tu [emoji3]
825kj OP Magufuli... Nilidoji intro , Passing Square na Siku ya kuapa...Nilikimbia Guard no.1 siku ya kwanza tu kabla hawajanikariri...safari ilikua ngumu lakini nilitoboa

Sifa ukiwa doja usiwe na tamaa ya msosi.
 
Mwaka gani mkuu??

Makuyuni kuna koplo mmoja anaroho kama shetani, anitwa Sese,

Kuna mpenda sifa anaitwa Aloyce(private)

Nilikuwa hanga la mabati pale afande anawaamsha kwa kuburuza mfuniko wa ndoo kwenye mabati.
 
Hahàhhahahaha ,nimecheka
 
Nishawaambia humu wawe makini Sana wenye utimamu washajielewa,jana alinichekesha eti anadai kapoteza simu yule aliyemtumia docs zake amtumie tena inbox hivi ukipoteza simu hata jf nayo inaondoka?
 
[emoji16][emoji16]huyu ni Mimi kabisa true story[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…