NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Mzee ulishindwa hata kujitetea kwa kukimbia.?Me nliwah kudoji mabio, nikavizia hangan nichukue ndoo nikachote maji,ile naingia tu nikamkuta afande ametulia kw bed anavuta bangi,hlf afande wa maovyoovyo kombania mzima tunamhara.nilianz kutetema tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].akanambia umedoji eeh sas subr huku ananifuata kunifikia tu mbata ya maana akanambia kaa uvunguni mwa kitanda cha juu,sas vitanda ni dabodeka vile nikae uvungun mw kitanda cha juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .kuruti wa a Mungu nikaanza kupanda nijishikie uvunguni [emoji23][emoji23],nilipata tabu sn,kunywa viroba vya kutosha,beba dunia mpk washikaj wanarud mabio bdo jamaa kakomaa na mim.[emoji23]
Mimi nilikua sikubali kabisa afande anikamate kizembe kwakweli halafu anipe 'shumbwela' bora anikamate nikiwa najitetea.
Halafu uzuri wa maafande ukiwatoroka wao wenyewe wanakubali show na kujisemea moyoni kua "Yule bwege kaiva"[emoji28].
Mziki upo kwa wale Service Man/Girl [emoji28],ikitokea umemtoroka halafu akakukariri sura aisee shughuli unayo maana utatafutwa kila ndichi[emoji28]..
Halafu pia kuna wale Ma service wenye V moja (Lance kopro) wanakuaga na moto kinoma,Yaani wale jamaa wanajionaga kama wamepiga kozi RTS Kihangaiko,Ikitokea umeingia kwenye kumi nane zake utapigwa doso uchakae..
Sent using Jamii Forums mobile app