MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Soud nilikuwa namchukia kwenye mabio zamu yake lazima mkimbie kufata chakula mnapanda mlima kazaula ..mnatokea kule kwenye manguruwe mpka jikoni paleAfande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete