Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Afande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete
Soud nilikuwa namchukia kwenye mabio zamu yake lazima mkimbie kufata chakula mnapanda mlima kazaula ..mnatokea kule kwenye manguruwe mpka jikoni pale
 
Tozi anamatusi sana na ile sauti yake sasa utacheka vile akitukana utatamani mda wote awapigishe story [emoji3]

Eti msiende porini wenyewe wale warundi bado wana hasira wataf* ra

Kipindi hicho warundi wamefukuzwa kwenye kambi ikawa ya jeshi kwahyo mipapai , mitunda ya kila aina ipo huko porini ukienda inakutana na vijumba yamebaki magome vimebomoka

Nasikia kulikuwa na mtifuano sana kuwaondoa
Yah mbna kama ww ni op magufuli
 
Wote hao nawakumbuka ..kuna mwamba anaitwa afande tozi anatukana vibaya mno
Yule afande mwingine Sura ya yesu matendo ya shetan sura nzuri ila roho yake sijawah iona ngumu mno,aliendaga kozi ya ukomandoo akaumwa akarud kambini
Kwan commando koz ni ngumu sana eeh! Maan huyu askari wa pili kuskia anarudi,mmoja aliwepo mgambo afande msaizage aliend komando akarudi fasta
 
Afande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete
Daah!! Inauma sn,ilibid uwepo Frontline baba mwendo wa kuvunja bega tu
 
Jamaa yangu alipiga interview uhamiaji na magereza, mkeka umetoka jina lake lipo kotekote yan uhamiaji na magereza.... Jamaa akachagua magereza dah[emoji23]
Kwani majina ya watu walioitwa interview magereza na uhamiaji si yaliyotoka nyakati tofauti mzee
 
Back
Top Bottom