Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Ingia kwenye tovuti yao usome kiambatisho cha fani walizozitaka kama psychology ipo,kama ipo unaweza kuomba kama haipo usipoteze muda wako na pesa yako tu.Hivi m naomba kuuliza kama umesomea psychology unaweza kuomba aise
Kumamae hakuna fani ya sheria. huu ni undezi
Mambo ya PGO [emoji2]Vijana naona kuna baadhi wana mtelo wa usaili wakati wengi wenu mmepita JKT ishu ya mitelo ilishawatoka baada ya zile six week za mkesha labda kwa mliopita JKT Mujibu wa sheria wengi huwa mnatoka mananga ile miezi mitatu yenu ya mafunzo.
Usaili ni mambo makuu mawili tu.
1.usaili wa vyeti vyote kama ni halali
2.utimamu wa mwili-hapa ni huna michoro mwilini,huna ulemavu wowote ule,huna mishono ya operesheni kubwa itayozuia kufanya mafunzo,hujihusishi na vitendo vya ushoga(malinda yapo?) nk.
3.hapa sasa itategemeana na wasaili wa eneo husika wanaweza kuwapa ka mtihani ka maswali kidogo kupima uwezo wenu wa kuchanganua mambo na hasa ishu za current affairs labda na mengineyo na hii inaweza isitokee kabisa au ukasikia mkoa x wamefanyiwa lakini wewe wa mkoa y usipitie hayo.
[emoji1787][emoji1787]kwa upande wa shahada mbona wamebana Ivo???Daah nchi Ni ngumu hii
Mtatupwa kwenye zahanati mkaanzie kazi hukoZipo nyingi mnoooo karibu kila mkoa kuna hospitali ya polisi ..sema nyingiii ni dispensary level
Kumamae hakuna fani ya sheria. huu ni undezi
Mtatupwa kwenye zahanati mkaanzie kazi huko
Dah ila ss wanasheria tunatengwa Sana mkuuInategemea na level uliokua nayo sasa pathologist zahanati akafanyaje..
Ni kweli hata ma CO mtapelekwa MM Mtaanza kazi mara moja.Inategemea na level uliokua nayo sasa pathologist zahanati akafanyaje..
Ni kweli hata ma CO mtapelekwa MM Mtaanza kazi mara moja.
Naambiwa maMD wataoperate kwenye hosp zao kubwa kama pale Kurasini Barracks..Medical personel wengi polisi walikuw level ya AMO na wamefanya kazi over 30 years na wengine wanaretire so young MDs nadhan wanaenda kureplace na kuongeza nguvu pamoja na COsMtatupwa kwenye zahanati mkaanzie kazi huko
Ni kweliInategemea na level uliokua nayo sasa pathologist zahanati akafanyaje..
Tupe Lonja kiongoziNi kweli
Kimkakati zaidi😂😂Tupe Lonja kiongozi