Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Yaani mfano itokee mtu una mbanga ya uhakika anakwambia uchague kati ya boma na ccp . ccp sio pa kwenda kwakweli


Yaani mtaani upo una beti na maisha na huko ccp uka beti tena..
 
Mkuu hivi INTELIJENSIA(TISS) pia wanachaguliwa wakiwa CCP?
TISS ni idara ya usalama wa Taifa Ni taasisi kubwa inayojitegemea ila inakusanya watu kutoka taasisi nyingine
Mfano kuna Police wako Tiss eg DG wa TISS ametokea police
Kuna wanajeshi pia wako Tiss
Kuna UT wako Tiss nk

Lengo kubwa hawa watu wakusanye information kutoka taasisi nyingine zote.
Ila kuna idara ya upelelezi ndani ya Jeshi la police ila usichanganye hao ni police sio TUSS
 
Nimekupata Mkuu.
 
Tupe lonja mkuu
 
kabsaa mf wanaotarajia kupiga kozi waliopo rts sahv ni maengneer,IT na madoctor walopita mwaka jana kuandkisha vyuoni walipita must,muhimbili n.k
Walipita mwaka huu. Kuna washkaj walichukuliwa mwezi wa sita hivi. Hivi bado hawajaanza course?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…