NAJYUZ
JF-Expert Member
- May 10, 2021
- 1,981
- 3,475
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikua mafinga jkt mkuuMfwende ulikuwa mtabila asee
kwenye upanga hpo ndio pigo ambazo sizitaki kabisaNasikia CCP posho ni 70k per month.
Unatakiwa upasi suruali mpaka ule upanga uonekane vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] Mkuu ndio PGO inavyosema sasa.kwenye upanga hpo ndio pigo ambazo sizitaki kabisa
Asee nikajua ulikuwa mtabila mkuunilikua mafinga jkt mkuu
Nilikuwa kitaa mkuu lakini nimeona tangazo nimeomba leo kesho naenda mkoani nichukue barua ya daktari nikamilishe maombi nisubilie kwata la polisi Mungu ajalie tuMuda wote ulikuwa wapi??
Nimebakiza kupata barua kk ya daktari nimeambiwa niende kesho asubuhiDaah jamaa Imebaki siku moja ndo anashtuka!!!
Wanataka uwape sh ngap form ya drNimebakiza kupata barua kk ya daktari nimeambiwa niende kesho asubuhi
Op gani mkuu mi nlikua mererani ase akina nkoko,laizer sijui unawapatanilikua mafinga jkt mkuu
Asee lile baridi sio poanilikua mafinga jkt mkuu
Mafinga hahahaha daahAsee lile baridi sio poa
Mtabila aseeAsee lile baridi sio poa
mafinga lile chimbo htari. kuruti unavaa kombati muda wotee hkuna vipitshort kuleAsee lile baridi sio poa
jah ables tuingie mzigoni wana jf woteeMafinga hahahaha daah
Nasikia CCP posho ni 70k per month.
Unatakiwa upasi suruali mpaka ule upanga uonekane vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo inabaki elfu 90Ni laki 3 kwa mwezi..ila elfu 7 per day inakatwa ya msosi
Kwahyo inabaki elfu 90
Daaah sio poa asee nikajua jiwe 3 nzima mnapewa kumbe inabaki 90Yes kitu kama hicho
Ngoja wakuu wajeposho migration -kichaka miba ikoje wakuu ,hamna lonja