Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Soma vzuri nilivyoandika, kumaliza mafunzo na kuonesha cheti chako cha chuo ni tofauti ma kutoa cheri chako muda ukiwa unaendelea na kazi. Yaani nilimaanisha umeajiriwa 2019 halafu cheti unawapelekea ulisoma 2020 na umemaliza 2023 na hapo haujapewa ruhusa.

Ila jaribu tu kila kitu kinawezekana.
Hakuna shida mkuu. Unaweza ukasoma hata bila kuwa na ruhusa. Ila utajua mwenyewe utajipangaje na utawapangaje wakubwa zako. Unapoambiw uishi na wakubwa zako vizuri...uelewe kuwa kuna vitu kama hivyo. Ukiishi nao vizuri watakupa majukumu ambayo yatakupa muda wa kusoma pia.
 
Kwahiyo hao INTELIJENSIA wanakuwa ndani ya PT kumbe,kitengo kizuri au hakuna ishu?
Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.
 
Mkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.
Hivi kwa wakati huo Kwa wale waliongia na vyeti vya form wakitoa vyeti vyao vya degree haina shida ?
 
Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.
Kitakuwa kitengo kizuri sana,sikuwahi kujua kama kuna hiko kitengo zaidi ya CID.
 
Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.
Hili bogi tamu sana ila lina changamoto ya kufa muda wowote ikitokea wabaya wakakujua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom