Kigezo ni JKT na JKU kama hujapita apo ushakosa sifaWakuu ,vipi kwa sisi tuliopitia kozi za mafunzo ya kijeshi jeshi usu la uhifadhi ktk vyuo vya pasiansi na mweka tunaweza kuomba uhamiaj na polisi pia
Wanaotakiwa ni JKT na JKUWakuu ,majibu Tafadhali
Kole makosa ya ajabu ajabu ya kibinadamu tu wanakutimua hawana huruma kabisamfano makosa gani yanaweza pelekea kufukuzwa
Unaweza pia ukawa nae na usijue ni mtisKiukweli sina mkuu ndugu hata mmoja asee daah ndio kipengere kilipo maana hzi mambo kama ukiws hauna mtu wa kukushika mkono daah ni mtihani kuna manzi mmoja hv nilikuwa nae mtabila asee mwezi kama ulioisha nimemuona kwenye kaunda suti na muheshimiwa daah
yaah mkuuUnaweza pia ukawa nae na usijue ni mtis
Mkuu hujatupa lonja ya maswali yalio ulizwa mwaka jana katika interview ya uhamiaji.shusheni lonja ma afsa
mkuu wangu pitia na hiiMkuu hujatupa lonja ya maswali yalio ulizwa mwaka jana katika interview ya uhamiaji.
Tuanzie hapa. Na kwa mwaka jana mliofanya interview mlikuwa wangapi jumla?
Jilipue tu hakuna namna.Hivi kama pale kwenye zile kozi walizotaja wanataka mtu mwenye diploma na wewe una degree, haiwezi kutokea bahati ya mtende au nikate tamaa tu nipotezee.
Ok mkuu ila hujaniambia idadi ya watu waliofanya interview, nakumbuka mwaka jana walifanyia CIVE AUDITORIUM pale UDOMmkuu wangu pitia na hii
kuhusu idadi sijajua mkuu ila zanzibar wanaitwaga wengi pia mkuu. kikubwa jipangeMkuu hujatupa lonja ya maswali yalio ulizwa mwaka jana katika interview ya uhamiaji.
Tuanzie hapa. Na kwa mwaka jana mliofanya interview mlikuwa wangapi jumla?
Sawa sawa.kuhusu idadi sijajua mkuu ila zanzibar wanaitwaga wengi pia mkuu. kikubwa jipange
Kukwepa vipindi( kudoji), utovu wa nidhamu, wizi, kupigana, uchafu( unatakiwa kuwa smart...kutokuw smart kunaweza kukufukuzisha...kujihusisha na mapenzi( kusimamisha minazi) ,mimba( aliyepewa na aliyempa mnafukuzwa labda manzi akomae asikutaje), kumiliki simu..matumizi ya pombe/ bangi au vilevi vya aina yoyote.mfano makosa gani yanaweza pelekea kufukuzwa
pdf hii lzma tupite mkuuSawa sawa.
Boss
Dua nyingi, ujue mpk nimefungua Id mpya ile ya BARDIZBAH imekula ban mpaka feb 2023.saf
pdf hii lzma tupite mkuu
Tiss zilishapita huwa ni za wakubwa imagine RPC wa mkoa fulani alihonga milioni 1 kwa jamaa wa ikulu ili mwanae apate nafasi huko lkn wapKaka muulize kama kuna nafasi za Tiss tusaidiane asee
Naendeleza mapambano lzm tufike Canaanmkuu wa ikulu umerudii
Nafasi zao zinachelewa na mm nataka chapchap nitoke hapa TPAKwann asikupeleke JW?
Hahahahaha asee hatareee sasaUnaweza pia ukawa nae na usijue ni mtis
Mkuu mbona ni hataree sasaTiss zilishapita huwa ni za wakubwa imagine RPC wa mkoa fulani alihonga milioni 1 kwa jamaa wa ikulu ili mwanae apate nafasi huko lkn wap