Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mfano makosa gani yanaweza pelekea kufukuzwa
Kole makosa ya ajabu ajabu ya kibinadamu tu wanakutimua hawana huruma kabisa


Ndio nikasema ni vile tu vijana hawana jinsi wanaenda kule kwa maisha haya huwezi chagua kazi


Ila kungekuwa na uchaguzi na kwenda majeshi mengine ni uhakika wadau wengi wasingeenda kabisa
 
mfano makosa gani yanaweza pelekea kufukuzwa
Kukwepa vipindi( kudoji), utovu wa nidhamu, wizi, kupigana, uchafu( unatakiwa kuwa smart...kutokuw smart kunaweza kukufukuzisha...kujihusisha na mapenzi( kusimamisha minazi) ,mimba( aliyepewa na aliyempa mnafukuzwa labda manzi akomae asikutaje), kumiliki simu..matumizi ya pombe/ bangi au vilevi vya aina yoyote.
 
Back
Top Bottom