Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mm sikuwahi enda shambani kabisa,..kule mtabila mbele ya maanga ya ngorongoro kuna mashamba makubwa sana walikua wanalima wakimbizi kipindi hyo
 
Naomba kuongezea hapo;
muda mwingi ni kazi tu hupati muda wa kukaa tu na kuongelea mambo ya watu huko ofisini kwenye viti virefu...
Halfu lazma uwe fit siku zote za kazi yako
 
Halfu jambo jingine ni furaha pia kufanya kazi unayoipenda na ya ndoto yako
 
wataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.)

01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao inamlazimisha kwenda uko.

02. Ni mtu anaye ingia jeshini kwa sababu ana mapenzi toka moyoni nahapa ndipo tuna sema Good solider a born not made. For some case.

03. Huyu ni yule ambaye yeye kwa kuwa hali ya maisha yame mpiga hana namna anajitosa jeshini. Enverinmental issues. Kuwa na coensistance namaanisha uadilifu itategemea na uwelewa katika kuchanganua mambo.

04. Huyu bwana anatamani kuingia jeshini kwa nia ya kualalisha mambo yake machafu mf. Magendo,ubabe dhidi ya sheria kwa wasio usika, n.k hivyo ataingia ila akil yake ni tofaut na misingi ya kiutendaji anawaza dili zisizi na tija. Ila huwa hawakai muda sana...πŸ˜†πŸ˜†

Sisi tuko wapi....🚩
 
2:mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…