methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
Alaaa kumbe mwaka gani maana kuna ma private walikuwa nyoko paleNimepiga hapo mujibu wa sheria
Namba 2 tena FFU,wataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.)
01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao inamlazimisha kwenda uko.
02. Ni mtu anaye ingia jeshini kwa sababu ana mapenzi toka moyoni nahapa ndipo tuna sema Good solider a born not made. For some case.
03. Huyu ni yule ambaye yeye kwa kuwa hali ya maisha yame mpiga hana namna anajitosa jeshini. Enverinmental issues. Kuwa na coensistance namaanisha uadilifu itategemea na uwelewa katika kuchanganua mambo.
04. Huyu bwana anatamani kuingia jeshini kwa nia ya kualalisha mambo yake machafu mf. Magendo,ubabe dhidi ya sheria kwa wasio usika, n.k hivyo ataingia ila akil yake ni tofaut na misingi ya kiutendaji anawaza dili zisizi na tija. Ila huwa hawakai muda sana...[emoji38][emoji38]
Sisi tuko wapi....[emoji626]
Lonja imeshiba hiiNdugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Hahahahahahahahaha daah hayo matesoSasa funga fungua ni ya kuipiga wiki nzima kweli
swala ni kujiamini nidham utiifu na weledi katika issues tu ubabe utata c swlaVP na Tabia ..km mtatamtata au unatabia za kibabe nasikia ndo wanawachagua pia watu km hao
watu wanapga madili ya 50M . huku kitaa wahuni hata kula yetu mungu anablesi tu.Unalipwa ila anasema mwaka mzima madili yatakauompita ni zaidi ya M 50 alafu akienda kusoma mshahara unaongezeka laki na nusu tu
Veta hakuna kazi ya hivyo ....hiyo wewe ulisomea wap ?Veta kuna kozi ya kubeba mizigo?
Mwenyr nacho ataongezewa 😆😆watu wanapga madili ya 50M . huku kitaa wahuni hata kula yetu mungu anablesi tu.
Kwahyo ukikutwa mchafu haufukuzwi ni unakula adhabu ?Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Watu wengi hawapendagi kwata .Kwata noma hata JKT kwata lilikuwa linaniboa sana ,mi Bora nile doso Tu kuliko kwata na nilikuwa nadoji sana kwata nishakamatwa mara nyingi na nilichezea doso heavy la makamanda wa pale Oljoro 833KJ mpaka nikaota sugu , ila nilikuwa sikomi kudoji nahisi nikiingia Polisi watanifukuza tu ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ,nikikumbuka JKT huwa nacheka sana ,kuna siku umepigwa msako mkali makanda na na MP kambini wanajitafutia mamaster wa kudoji kwata na vipindi combania na kujificha pori ,nakwambia mpaka na MP nao waliunga tela wanatusaka porini na mwanangu mjini mmoja hivi na , mwisho wa siku na MP walitudaka ,doso tulilopigwa ni siri yangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3][emoji3][emoji85][emoji85]
😆😆 na ndio msingi wa utimamu wa Mwili.
Ahhh!![emoji28]!! ***** sisi wengine madoja tangu tunasoma asa sijui itakuaje!!.Ndugu zangu mtakao fanikiwa kuingia CCp kitu cha kwanza usidoji vipindi , ukikamatwa sio kama jkt eti utakula doso then wakuache hapana[emoji3064]
Yani wakikubaini unafukuzwa siku hiyo hiyo bila kupepesa macho[emoji15][emoji15]hawakuonei huruma wale jamaa
Kingine ukienda kuripoti usiende na mavitu mengi kama mtalii we nenda na begi lako la kawaida, pia kama una ndugu moshi weka vitu vyako kwa ndugu yako baada ya mkesha wa wiki kama mbili wasiliana nae akuletee.
Kama unampango wa kuwa na simu kwenye kozi hiyo mambo acha kabisa itakuaribia maisha[emoji847]
Kama wewe ni mitombo coy huwezi kuishi bila kuchakata mbususu my friend we jifunze kupiga nyeto tu
Kama ukitaka kuishi vizuri matengo yafuatayo ni ya kukaba mapema
1. Table leader wa kudumu
Hapa wewe utakuwa unawahudumia wenzako kwa kuwapa chakula ikifika mda wa kula
Note: ukitaka kuwa table leader wa kudumu ishi vizuri na leader wako awe anakupanga kila siku
2.kama unafani za afya jitahidi ukabe tengo la zahanati ukifaulu we umeweza maisha ya ccp utaishi kama mfalme wa nyika[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
3. Kaba fundi magari yani hata kama hujui kutengeneza magari we komaaa tu hata wakikuliza wambie nimesomea kabisa veta na cheti ninacho[emoji16][emoji16][emoji16]usiogope maana hawawezi kwambia ulete cheti ila tu japo ujue hata kufungua tairi na mambo ya uongo na kweli
4. Kaba tengo la mbwa na farasi hutajutia
5.kama umesomea kompyuta au records jipendekeze mapema kwa makamanda wa ofisi kuu na masijala hutasumbuliwa
MUHIMU:
TENGO PEKEE LA KULA MAISHA PORINI NI KUWA FUNDI GARI NA KUOSHA GARI YA MKUU WA PORI
PIA KUFANYA KAZI KWENYE BOZA LA MAJI HAYO YOTE MPAKA UWE UMEKABA TENGO LA FUNDI MAGARI TOKA CCP MJINI NA UKAZOEANA NA MAKAMANDA WA MT- SECTION MAANA WAO NDO UTAWAKUTA UKO
Mwisho
Fanya yote ila usije acha kuimba ule wimbo wa mimi kuruta aisee utafukuzwa na wala huwezi amini aisee
KILA LA HERI KWA WATAKAO CHAGULIWA
Acha tu niliwai kushuudia mkuu wa kambi anapewa M7 awaachie wanakijiji wasepe bila mbao zao ila mwamba akakaza anataka 15
Mkuu mlevi mmoja [emoji23] hili swali na jina unalotumia nna uhakika maswala ya usafi yamekupita kushotoKwahyo ukikutwa mchafu haufukuzwi ni unakula adhabu ?
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Graduates wengi ni number 3wataalamu wa mambo wana kwambia kuna aina 4 ya watu wanao ingia Jeshini(chomboni) aijalish iwe (Home affair, ofisi ya Rais au wizara ya ulinzi na usalama kwetu hapa Tz.)
01. Mtu wa kwanza niyule anae ingia jeshini kwa sababu Tu nyumbani kwao ni wanajeshi au askarii. Family background yao inamlazimisha kwenda uko.
02. Ni mtu anaye ingia jeshini kwa sababu ana mapenzi toka moyoni nahapa ndipo tuna sema Good solider a born not made. For some case.
03. Huyu ni yule ambaye yeye kwa kuwa hali ya maisha yame mpiga hana namna anajitosa jeshini. Enverinmental issues. Kuwa na coensistance namaanisha uadilifu itategemea na uwelewa katika kuchanganua mambo.
04. Huyu bwana anatamani kuingia jeshini kwa nia ya kualalisha mambo yake machafu mf. Magendo,ubabe dhidi ya sheria kwa wasio usika, n.k hivyo ataingia ila akil yake ni tofaut na misingi ya kiutendaji anawaza dili zisizi na tija. Ila huwa hawakai muda sana...[emoji38][emoji38]
Sisi tuko wapi....[emoji626]
Wakuu tunakumbushwa suala la minazi hapa [emoji28]Poti umemaliza...kilichobaki wapite usaili tu. Ila pia wasijifanye mapenzi wanayajua sana na kuanza kuhudumia madawiri kama ndio wapenzi wao wakat siku ya mwisho wewe unapangwa mtwara yeye anaenda kigoma...mbususu inaenda kusuguliwa huko na usikute umehudumia tu bila kugonga [emoji23]
Mimi ningeenda huko wangenitimua kwa uchafu maana pasi nimepiga baada ya kwenda interview yangu ya kwanza. Hata suruali za vitambaa nimeanza kununua baada ya kumaliza chuo maana nilijua tu nitaitumia kwenye ajira na kazini sijawahi piga pasi kwanzia msingi mpka sekondari hata chuo .Mkuu mlevi mmoja [emoji23] hili swali na jina unalotumia nna uhakika maswala ya usafi yamekupita kushoto
Mwanangu unapenda kujila[emoji28][emoji16]Hahhaha kaka nimecheka sana aise eti funga fungja mpaka ukahisi unazimia...mm hyo kwata ndio naipenda sasa