Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Graduates wengi ni number 3

Wanaingia jeshini kwa sababu ni vile watafanyaje maisha magumu ajira hakuna za zile fani waliosemea sio kama wanalipenda jeshi

Wengi wao ni mujibu wa sheria ,[emoji3].

Yule alienda kujitolea anajua nini anatafuta toka mwanzo

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nakubali Mkuu😆😆 maisha yana tuforce hakuna namna unakuta we ndio tegemezi ktka familia hakika uwezi kuwa na chaguz chamsingi mkono uzame mfukon...

Mungu mwema atafanya tu....
 
Mimi ningeenda huko wangenitimua kwa uchafu maana pasi nimepiga baada ya kwenda interview yangu ya kwanza. Hata suruali za vitambaa nimeanza kununua baada ya kumaliza chuo maana nilijua tu nitaitumia kwenye ajira na kazini sijawahi piga pasi kwanzia msingi mpka sekondari hata chuo .

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hahahahahaha nimejikuta nacheka kinoma
 
Hahahahahaha nimejikuta nacheka kinoma
Yaani seriously yaani mimi uniambie suruali iwe na panga kwanza huo upanga kwanza sijui nautoa vipi

Pasi mimi nilikuwa napiga kimchongo yani juu kwa juu [emoji3]

Halafu sasa sinaga nguo nyeupe iwe shuka au pazia hata dekio yaani inshort hio rangi siipendi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pasi suruali iwe na upanga hapo ushanipoteza [emoji3][emoji1787]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo 😆😆😆 suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati 😆😆😆 Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
 
Hahahahahaha kwahyo kidole kikipenya unakula doso
 
Daaah kwata bhana inahitaji uvumilivu, nakumbuka tulikuwa tukipewa 5 yaani pale pale jua jua kali kmmk lkn usingizi unakuja hapo hapo daah
Hhahaha na ule uwanja wa kwata MTABILA una vumbi mnooo...nilikua sipendi kuzima moto sana yan maprivate wanawasha moyo misituni halfu wanatupigia filimbi tukauzime
 
Nyosha upanga uonekane unavaanguo unaogopa kukunja mi kunjo 😆😆😆 suluali una valia ukitokea kwenye deka juu...
-Mwendo wake ni kama Zombi au robot tembea bila kuharibu upangaa
-Chini ukitazaa buti ina ngaa
-Mkanda /belt ulivyo funga viendane na kikojoleo na vifungo vya shati 😆😆😆 Ole wako vipshane..
- ahaha sasa iyo belt sifa ukaze kiunon kidol kisipnyee..
Hapo kwenye kuchomekea sasa..mm nikichomekea mashine inaonekana kama imesimama kabisa...yan mtu akiniona ataona jamaa amesimamisha 😅😅
 
Hhahaha na ule uwanja wa kwata MTABILA una vumbi mnooo...nilikua sipendi kuzima moto sana yan maprivate wanawasha moyo misituni halfu wanatupigia filimbi tukauzime
Oyaaaa kaka ule sio uwanja ni li uwanja, hapo kuwasha moto ni na kuzima ni mafunzo pia, daah mkizima huku wanawasha huku kmmk mnajikuta mnakesha kuzima moto mpk jioni, na moto wenyewe kuzima na matawi ya majani ukitoka hapo hutamaniki, , bustani inakusubiri, bado hujafagilia maua na kumwagia majikipindi hiko jua kama lote
 
Mm kazi zingine nilikua nadoji ila kwata siwezi doji kabisa maana itajulikana tu ...nafasi yangu ilikua kuongoza guard number 3
 
Kwa kuwa ulikuwa unapenda hv mlimkutaga yule mabula mt
Mabula yupi nikumbushe ?....sisi kombania yetu bravo parade tulikua na sudi jamaa mmoja mweusi mrefu anapiga kwata makini sana..ukiwa nanga wa kwata anakuja kukukiss kabisa na hataniii
Nanga alikua anawaparua usoni na mikono nilikua nawacheka sana mananga
 
Kwata lilikua linanipa raha pia maana utacheka sana ....maana kuna mananga wanapiga kwata utacheka ufe,yan kuna watu hawajui kwata kabisa
Kwenye somo la uvumilivu kusimama juani muda mrefu matall walikua wanaanguka sana ,sasa bhana ukiaanguka maafande wanakumwagia maji mwingine anakuambia oyaaa tunakupiga denda amkaa
 
Mabula yupi nikumbushe ?....sisi kombania yetu bravo parade tulikua na sudi jamaa mmoja mweusi mrefu anapiga kwata makini sana..ukiwa nanga wa kwata anakuja kukukiss kabisa na hataniii
Nanga alikua anawaparua usoni na mikono nilikua nawacheka sana mananga
Mabuka sana sana yupo kwenye kufundisha vitala...huyo sudi namjua ni kweli ndio tabia yake hyo mwamba hakopeshi, utasikia sogeza shavu daah kmmk unajikuta huna ujanja unampa shavu anakupiga busu na hyo ndo huwaga coy yake pendwa bravo
 
Back
Top Bottom