Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Madogo mnaokuja TPS-MOSHI njoeni kwa nidhamu na weredi mkubwa ,mtakutana na chuma hiki Cha kinyakyusa hakina mbambamba nikupepea tu moja kwa moja ukileta ujuaji na malingaling yako
IMG-20221229-WA0033.jpg
 
Hata mimi nimeliona kuna mda na scroll down tu Sababu unakuta mtu anaadithia maisha yake yote ya JKT
Kuna maafande wanafanya kazi nzuri kutupa experience ya CCP wengine wanachafua na JKT...

Bora tubakie kwenye lengo kuu la uzi, kila siku lazima niingie huku, sasa nakuwa disapointed kukuta story za JKT nyingii.!!!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ccp lonja nyingi. kichaka miba lonja hamna kabisa kulikoni makamishna shusheni lonja zote ,hta za zimamoto
 
Madogo mnaokuja TPS-MOSHI njoeni kwa nidhamu na weredi mkubwa ,mtakutana na chuma hiki Cha kinyakyusa hakina mbambamba nikupepea tu moja kwa moja ukileta ujuaji na malingaling yakoView attachment 2462395
Hahaha Chief Instructor Mwenyewe, Mghasia wa ukweli, Mtaalamu wa silaha..Assistant Commissioner of Police Nsemwa 🙌🙌 hatari sana mwamba huyu ila ni mtu poa sana pia. Akikupiga pindi la weapon huyu usipoelewa nenda kakate kichwa maana utakuw hauna kitu kichwani. 😂😂🙌
 
Mbaji mwembamba hv uso wake kama kalewa muda wote....huyo anakera mno kwenye maovyoovyo
Mbaji siku ya kwanza amekuja Bravo alikuja na mayai mawili mabichi akayavunja halafu akanywa mabichi hvyo hvyo likasema hapa natengeneza sauti ya parade...
Mbaji walikua na jamaa yake mwingine mweusi walikua wanaitana kwa nguvu mno hata yakiwa mbali utasikia babaaaaa baabaa njooo huku yanakutukana babaaaaa
Hahahahahahahahhahahahaa eti yanakutukana,hlf anaeitwa anakuja mbio kbsa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale komandooo sisi ndo walitukuta na wapo pale kwa adhabu maalumu kuna mmoja big alafu mwingine sharobaro hv akitembea bega moja analiinamisha wale jamaa waligomaga kula messi hawashibi wakawa wanajipikia wenyewe
Huyo sharobaro mweupe hivi....wapo hapo sio kwa adhabu ..kuna captain mmoja kama unamkumbuka alikua black hv smart sana anapenda kutumia neno "brothers" huyo captain ndio alituambia makomandoo wapo pale kwasababu hizo kambi zipo mipakani na ilikua ya wakimbizi ..wapo pale kwasababu za kiusalama
 
Ndege tai sema wale komandoo nilikuwa nawakubali kwanza kwenye mazoezi alafu kwenye range ukipangwa kwenda kwake anakuelekeza vzr na shabaha unapiga kuanzia 2 mpaka 3, wakubwa wenyewe walikuwa wanawaogopa, kwanza wale jamaa hata master pared hawakai, hawashiki silaha kulinda, mpk mkuu wa kambi akawa anasema waacheni tu
Wale wana utawala sana ..kwanza pale kambini walikua hawapangiwi guard wala kazi yoyote ..ni wao tu walikua wanajitolea kuwasaidia kuruta kwata
 
Hahaha Chief Instructor Mwenyewe, Mghasia wa ukweli, Mtaalamu wa silaha..Assistant Commissioner of Police Nsemwa [emoji119][emoji119] hatari sana mwamba huyu ila ni mtu poa sana pia. Akikupiga pindi la weapon huyu usipoelewa nenda kakate kichwa maana utakuw hauna kitu kichwani. [emoji23][emoji23][emoji119]
Hatari na nusu ,mkuu
 
Back
Top Bottom