Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Msije sema sikuwaambia
Ukiona miamba hiyo badili njia kabisa
IMG-20221115-WA0004-1.jpg
 
Huyo sharobaro mweupe hivi....wapo hapo sio kwa adhabu ..kuna captain mmoja kama unamkumbuka alikua black hv smart sana anapenda kutumia neno "brothers" huyo captain ndio alituambia makomandoo wapo pale kwasababu hizo kambi zipo mipakani na ilikua ya wakimbizi ..wapo pale kwasababu za kiusalama
Anaitwa rusuhi huyo captain
 
Back
Top Bottom