Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naimani katika uzi huu kuna wakulu waliopo jikoni kabisa wakutupa lonja za uakika ,binafsi nafurahi sana kupata lonja kwa wakubwa na watangulia wetu waliopo humu ndani ,wanaotupa miongozo kiukweli tunapata nguvu sana ..One dai wote kwa pamoja tutakuwa katika vazi la kufanana ...Mshati wa Kaki 😊
 
Amen mkuu

Amen amen
Tunywe maji mengi , moyo uelee
 
Yule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu [emoji23]. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ila at the end mnazoea
Saa kumi Saa kumi kama kawaa
 
Yule Mwamba ni kamanda asee. Yani mnaweza mchukia ila jamaa anatoa askari. Anaweza akawapa kazi kisa mmeoga vizur na kupendeza au umepaka pafyumu 😂. Anakuambia askari upo porini unanukia pafyumu, hapana. Mnaanza maovyo ovyo...au usiombe mpo pori afu Yanga ikafungwa mtakula kazi 😂😂😂🙌 ila at the end mnazoea
Hahahahah,nimecheka
 
Madogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .

Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.

Nidhamu na uvumilivu.
 
Back
Top Bottom