Nakumbuka kipindi tupo kwenye mafunzo ya pori kulikuwa hakuna route za msosi yani mkitoka kwenye kipindi ni kurudisha siraha na kwenda messi kupata chakula[emoji1732]
Sasa akatokea mpumbavu akaropoka et jkt tulikuwa tunapassword ya msosi huku polisi hakuna kozi ni kama vile tupo semina aisee kwanza tulipigwa doso la kufa raia afu kesho yake mpk mafunzo ya pori yanaisha ni mbio za milima tu
Yani tulikuwa tunapigwa route ambazo hata jkt hazipo afu ukikosa chakula wao hawajali unaweza shinda njaa siku nzima na hakuna wa kukutetea
Ukiwa mzuri kwenye mbio utabeba hata trey la mkate ya platuni nzima na wengne wanakosa hasa mademu... Unaweza ukawa na hela na isikusaidie porini
Muwe makini sana kuropoka mambo ya jkt mtafanya kozi yenu iwe ngumu bila sababu za msingi.
Afu ukizingatia polisi na wanajeshi huwa siku zote hawapendani huo ndo uhalisia wa mambo
Sent using
Jamii Forums mobile app