Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Guys hali ni tete sana mtaan, especially kwa tusio na connection kabisa, sasa JF ndo naiona kama connection yangu, ombi langu kwa wenzetu mliopo chomboni tayari kama kuna namna yoyote mnaweza kutushika mkono au kutulengesha kwa mtu anayeweza kuwa msaada plz msisite kufanya hivyo... Maana ni balaa..Asante
Naomba kuwasilisha..
 
Pia ,sio lazima kila mtu apitie jkt ndio maana kuna Jku kwa zanzibar, pia kuna kozi za jeshi usu ambayo ni kama Jkt kupitia mafunzo ya kijeshi na silaha na kozi za porini ambazo huendeshwa ktk vyuo vya askari uhifadhi wanyamapori kama chuo cha kimataifa cha afrika cha uhifadhi wanyamapori & utalii mweka kilichopo moshi na Chuo cha Pasiansi kilichopo mkoani Mwanza ambapo maafisa askari wadogo na wakubwa hupitia mafunzo pamoja na taaluma ktk kipindi chao chote cha taaluma ambapo askari wakufunzi hutoka Jwtz ya Monduli
Ndo nikwamwambia jamaa akae kwa kutumia maana mambo haya yana mengi sana.
 
Guys hali ni tete sana mtaan, especially kwa tusio na connection kabisa, sasa JF ndo naiona kama connection yangu, ombi langu kwa wenzetu mliopo chomboni tayari kama kuna namna yoyote mnaweza kutushika mkono au kutulengesha kwa mtu anayeweza kuwa msaada plz msisite kufanya hivyo... Maana ni balaa..Asante
Naomba kuwasilisha..
Nimekuelewa sana mkuu, wakuu hebu tuishi na haya maneno asee tushikane mikono wakubwa
 
Nakumbuka kipindi tupo kwenye mafunzo ya pori kulikuwa hakuna route za msosi yani mkitoka kwenye kipindi ni kurudisha siraha na kwenda messi kupata chakula[emoji1732]
Sasa akatokea mpumbavu akaropoka et jkt tulikuwa tunapassword ya msosi huku polisi hakuna kozi ni kama vile tupo semina aisee kwanza tulipigwa doso la kufa raia afu kesho yake mpk mafunzo ya pori yanaisha ni mbio za milima tu

Yani tulikuwa tunapigwa route ambazo hata jkt hazipo afu ukikosa chakula wao hawajali unaweza shinda njaa siku nzima na hakuna wa kukutetea
Ukiwa mzuri kwenye mbio utabeba hata trey la mkate ya platuni nzima na wengne wanakosa hasa mademu... Unaweza ukawa na hela na isikusaidie porini

Muwe makini sana kuropoka mambo ya jkt mtafanya kozi yenu iwe ngumu bila sababu za msingi.
Afu ukizingatia polisi na wanajeshi huwa siku zote hawapendani huo ndo uhalisia wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuna route moja aliiongoza yule mzee wa push up mwamba Janu tulipanda milima asee sitaisahau ile ila nilijipush sana kuwah kufika. Waliochelewa walikula kazi sio poa.

Ukiingia CCP habari za Jkt au kufanya comparison za ajabu na JWtz uziache kabisa yani.
 
Wakuu ni kweli kitaa pagumu mno hasa kama hauna ishu ya kukuingizia kipato...najua watu humu tumetofautiana kwa asilimia kubwa, kuna watoti wa vigogo humu wa watu wazito japo sio rahisi kuwajua na wao kujitaja, kuna wenye ajira kutoka vyombo mbali mbali, kuna wenye connection za kazi mbali mbali, ni kweli kuna muda saikorojia inapotea kichwani hasa sisi ambao tuna haso tokea tutoke jakata kwa muda mrefu, ombi langu wakuu naomba tuishi kwa kushikana mikono hata kwenye vyombo vya ulinzi wakuu au hata kazi nyingine wakati huo tunasubiri huku, tuishi humo wakuu
 
Dah kuna route moja aliiongoza yule mzee wa push up mwamba Janu tulipanda milima asee sitaisahau ile ila nilijipush sana kuwah kufika. Waliochelewa walikula kazi sio poa.

Ukiingia CCP habari za Jkt au kufanya comparison za ajabu na JWtz uziache kabisa yani.
Mlima tembo ,mlima maingu ,mlima chokaa, mlima nyani, fisi mlima, mlima range eeeh aisee walitaka kuniua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau kuna mtu mwenye taarifa kuhusu wale vijana walichokuliwa kitaa kuingia JWTZ kama wameshaanza course? Kuna Mshua nataka nimvae hapa wizara ya ulinzi kama bado hawajaanz course nimlilie 😂
Walishaanza mdaa, walianzia kule makutopola miez 3-4 cna hakika sana. Sasa hivi wako msata
 
Back
Top Bottom