Deltacoy
Member
- Oct 29, 2018
- 29
- 43
Nakubali Mkuu😆😆 maisha yana tuforce hakuna namna unakuta we ndio tegemezi ktka familia hakika uwezi kuwa na chaguz chamsingi mkono uzame mfukon...Graduates wengi ni number 3
Wanaingia jeshini kwa sababu ni vile watafanyaje maisha magumu ajira hakuna za zile fani waliosemea sio kama wanalipenda jeshi
Wengi wao ni mujibu wa sheria ,[emoji3].
Yule alienda kujitolea anajua nini anatafuta toka mwanzo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mungu mwema atafanya tu....