Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Miaka 50 ya JKT, mwaka 2013, first intake. Ndo tulienda kuzindua mafunzo.Kanembwa operation ghani hiyo ilikuwa
Kama una mbanga wakueleweka fanya mapema mpange.. mzigo wa kiangaiko soon mwakan wana funga buster..Wadau kuna mtu mwenye taarifa kuhusu wale vijana walichokuliwa kitaa kuingia JWTZ kama wameshaanza course? Kuna Mshua nataka nimvae hapa wizara ya ulinzi kama bado hawajaanz course nimlilie 😂
Sawa mkuu tufanye we unajua kila kitu kama mtu kutoa maoni tofauti na yale yako ni kutokujua basi sawa umeshinda .Wewe ndio ukae kwa kutulia unapenda kujiona mjuaji alafu hujui kitu mambo yapo wazi usikaze kichwa nanga mmoja wewe
We ni punguone......!!!Miaka 50 ya JKT, mwaka 2013, first intake. Ndo tulienda kuzindua mafunzo.
824 kanembwa KJ. Hatari sana. Namkumbuka afande wandiba wa BRAVO COY, PUGU MASTER, AFANDE SAIBOG, A COY alikuwepo afande wao anaitwa DAKA NYAMA (RIP), D COY walikuwa na afande KOMANDO.
Walushie Taulo wetu.. kipndi kitaeleweka taratbu hakuna haja sana😆😆Mmegoma kuacha kupiga mastori ya JKT.
We ni pungutwoWe ni punguone......!!!
Dadek kuna chance ya kuingia hapa kweli kama wameshaanza course. Nilisikia walikuw uzalendo kwanza makutopora..kumbe wameshaingia msata tayariWalishaanza mdaa, walianzia kule makutopola miez 3-4 cna hakika sana. Sasa hivi wako msata
Sawa chiefuhamiaji ndani ya wki mbili pdf huwa inatema, nadhani nao PT watakua fasta safari hiii. wakuu endeleeni kutupa lonja
Tarehe 12 au 13 hapo wanamwagauhamiaji ndani ya wki mbili pdf huwa inatema, nadhani nao PT watakua fasta safari hiii. wakuu endeleeni kutupa lonja
Mkuu wewe ndio choo cha kulipia ??Upo uzi maalum humu kwa waliopita JKT, hizi nyingine ni vurugu tu.
Dua na iwe hivyoTarehe 12 au 13 hapo wanamwaga
Naam.Mkuu wewe ndio choo cha kulipia ??
pamoja mkuuTarehe 12 au 13 hapo wanamwaga
kma ni post za polisi kibali chao kilikua na ajira 3000 sijajua kma kutakuwa na changes. uhamiaji 500post.Wakuu nafasi zilizotangazwa ni ngapi kwanza ? Maana Mimi binafsi sina plan B kwa sasa tofauti na hizi nafasi