True story kaka[emoji869]Nilichojifunza mwaka jana haya mambo hayatakiwi kuweka imani Sana na kutegemea Sana na kuweka matarajio makubwa kwamba lazima nipate unaweza umia moyo wako unapata hata matatizo ya saikolojia akilini,tuwe na imani kwa mungu kwamba yeye ndio mtendaji na ukifanikiwa ni rizki yako na usipofanikiwa pia siyo rizki yako.sababu si wote watakaofanikiwa humu ila tusiache kupeana moyo kwani kwenye kutafuta lazima uwe na moyo wa kupambana na morali, mungu atatusaidia safari tutapata hizi nafasi za ajira. [emoji120]
Kabisaaa... Mimi mwaka jana jina lilivotoka uhamiaji kwa ajili ya usaili nikahisi ndo nishatusuaaa uhamiajii!!!! Mama yaanguu ilivotoka hiyo pdf ya pili sasa daaahh[emoji23]Pdf ya kwanza kila mtu atawekwa tuu akafanye usaili ila sasa baada ya hapo kwenye hiyo pdf ya mwisho watu hawatoamini. Haijalishi usaili utafanya vzuri au vibaya iyo pdf ya mwisho ya kwenda Ccp watu wengii hawatoaminii macho yao.
Usailini wenu ulikuwa vipi ?Kabisaaa... Mimi mwaka jana jina lilivotoka uhamiaji kwa ajili ya usaili nikahisi ndo nishatusuaaa uhamiajii!!!! Mama yaanguu ilivotoka hiyo pdf ya pili sasa daaahh[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka nilikuwa nawasomaNilichojifunza mwaka jana haya mambo hayatakiwi kuweka imani Sana na kutegemea Sana na kuweka matarajio makubwa kwamba lazima nipate unaweza umia moyo wako unapata hata matatizo ya saikolojia akilini,tuwe na imani kwa mungu kwamba yeye ndio mtendaji na ukifanikiwa ni rizki yako na usipofanikiwa pia siyo rizki yako.sababu si wote watakaofanikiwa humu ila tusiache kupeana moyo kwani kwenye kutafuta lazima uwe na moyo wa kupambana na morali, mungu atatusaidia safari tutapata hizi nafasi za ajira. [emoji120]
We mchek, watu wanaingia kozi zikiwa katikati, inategemea tu na uyo mzee atakua serious kiasi gani na ana connection ya nguvu kiasi ganiDah dadek nimemvamia mzee mmoja hivi kuhusu hii mishe kaniambia nimchek jioni ila kama course ishaanza kitambo sana basi matumain ya kuunganishwa ni madogo.
Sijui kwanini watu hawajibu ili swali
Maswali km haya hawajibu mtu hakwambii mtihani ulikuwaje wali cover wapi Sasa huku sijui mjadala wa ninSijui kwanini watu hawajibu ili swali
Makin sn hii mkuuMadogo Nimesoma Chats zenu zote ...
Hii inanipa faraja kubwa sana Moyoni Kwani mna MORALI wa juu sana ... Huo Morali udumu mpk Mwisho, kwani morali ni Moja ya vitu muhimu Kwa Askari ukitoa Mobility , Fire Controls etc. Miaka 7 Nyuma tulikua hapa kama nyie hv.
Wengi wenu mna uzoefu wa Kozi ya Mujibu ya Jkt ( 3Months Compulsory Attendance ) .
Haaa haaa sio kozi Janja Ile ni sawa na Seminar tu , Maelekezo mengi sana Ile .
Kozi ya Kuandaa Askari ni Vita maelekezo yatatoka mara Moja tu kulingana na muundo mahitajio ya wakati husika.
Nendeni na mfuate maelekezo mtakayopewa na wakufunzi wenu. Mtamaliza na kukabidhiwa majukumu yenu , Opposite yake Mtabaki nusu.
Nidhamu na uvumilivu.
Npambana ikishindikana tutakomaa na PT na UT...ila UT mmh hapaaminiki 😂😂 wadau tutafute wa kutushika mkono.We mchek, watu wanaingia kozi zikiwa katikati, inategemea tu na uyo mzee atakua serious kiasi gani na ana connection ya nguvu kiasi gani
mkuu polisi uhakika nn?Npambana ikishindikana tutakomaa na PT na UT...ila UT mmh hapaaminiki 😂😂 wadau tutafute wa kutushika mkono.
Huku nimepaweka pa mwisho mzee panaingilika huku tuombe Mungu tu kakamkuu polisi uhakika nn?
wengine tuna mwachia mungu pote
UT nafasi chache kutoboa yan muhimu awepo mtu akushike mkono. PT angalau unaweza jitutumua ukaingiamkuu polisi uhakika nn?
wengine tuna mwachia mungu pote
Mimi mwenyewe nashangaaMaswali km haya hawajibu mtu hakwambii mtihani ulikuwaje wali cover wapi Sasa huku sijui mjadala wa nin
miatano kama una mbanga ninyingi sanaUT nafasi chache kutoboa yan muhimu awepo mtu akushike mkono. PT angalau unaweza jitutumua ukaingia
Bachela wameanza kozi ya officer cadet dec 3 kama sikosei TMAWadau kuna mtu mwenye taarifa kuhusu wale vijana walichokuliwa kitaa kuingia JWTZ kama wameshaanza course? Kuna Mshua nataka nimvae hapa wizara ya ulinzi kama bado hawajaanz course nimlilie [emoji23]
Nashukuru sana MkuuBachela wameanza kozi ya officer cadet dec 3 kama sikosei TMA
Diploma wapo msata.
Mungu mkubwa atasaidia itakuwa [emoji120]Nakumbuka nilikuwa nawasoma
Ulikataa tamaa ukasema huziombi tena wenzao wakawa wanakwambia usikate tamaa.
Wengi mlivunjika moyo hata hivyo mlipambana zile za magereza round ya pili zikaondoka na watu round hii zamu yako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app