Xmonster
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,644
- 2,382
Nilichojifunza mwaka jana haya mambo hayatakiwi kuweka imani Sana na kutegemea Sana na kuweka matarajio makubwa kwamba lazima nipate unaweza umia moyo wako unapata hata matatizo ya saikolojia akilini,tuwe na imani kwa mungu kwamba yeye ndio mtendaji na ukifanikiwa ni rizki yako na usipofanikiwa pia siyo rizki yako.sababu si wote watakaofanikiwa humu ila tusiache kupeana moyo kwani kwenye kutafuta lazima uwe na moyo wa kupambana na morali, mungu atatusaidia safari tutapata hizi nafasi za ajira. 🙏