Nilikuwa mnyonge Sana kile kipindi hadi nikakondaNakumbuka nilikuwa nawasoma
Ulikataa tamaa ukasema huziombi tena wenzao wakawa wanakwambia usikate tamaa.
Wengi mlivunjika moyo hata hivyo mlipambana zile za magereza round ya pili zikaondoka na watu round hii zamu yako
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Walikaa sana makutopora badae kuna wazee wakapigwa ndoige baada ya usaili....wakasugua tena ndio wakatengwa wenye bachela wakaja DSM kambi ya Abdala twalipo na waliobaki wa diploma wakaenda msata.....Abdala twalipo wakapigwa usaili tena mkali jamaa aliniambia masaa mawili mama.e.......ndio wakapewa namba za ajira za private wakatimka zao TMA dec mwanzoni sahv wanaumia huko.........Nashukuru sana Mkuu
Eeeh hapa nishachelewa na course kweli kwa dizain hiyo itakuw mteremko ngoja tupambane kwingine tu.Walikaa sana makutopora badae kuna wazee wakapigwa ndoige baada ya usaili....wakasugua tena ndio wakatengwa wenye bachela wakaja DSM kambi ya Abdala twalipo na waliobaki wa diploma wakaenda msata.....Abdala twalipo wakapigwa usaili tena mkali jamaa aliniambia masaa mawili *****.......ndio wakapewa namba za ajira za private wakatimka zao TMA dec mwanzoni sahv wanaumia huko.........
Lonja ni kuwa kozi ina watoto wa wakubwa wa kutosha hadi watoto wa CDF huyu mkunda wapo mzigoni na watoto wengine wa majenerali na pia hao proffesionals engineers na doctors wanahitajika haraka wakalitumikie jeshi so dizain kozi itakuwa mtelezo
So mzee ushachelewa.
ln mkuu wangu ??Haya si mnataka lonja....
Wale waliotuma barua zao kwa Ma RPC, usaili unaaanza
Safi chiefHaya si mnataka lonja....
Wale waliotuma barua zao kwa Ma RPC, usaili unaaanza tarehe 2 mwezi wa kwanza, zitatofautiana kulingana na mikoa.
Tarehe 2 mkuu wangu.. watu washaanza kupigiwa simu!!ln mkuu wangu ??
Mkoa gani wamepiga?Tarehe 2 mkuu wangu.. watu washaanza kupigiwa simu!!
Mmh any evidence za waliotuma barua kwa makamanda wa mkoa kuanza kufanya usaili 2/01 mbona mapema sana.Tarehe 2 mkuu wangu.. watu washaanza kupigiwa simu!!
Mmh any evidence za waliotuma barua kwa makamanda wa mkoa kuanza kufanya usaili 2/01 mbona mapema sana.
Vp na professionals waliotuma dodoma makao makuu usaili wa kwanza lini?
Sawa kkSasa mkuu unataka wachelewe? Kwa makao makuu Utajulishwa tu. Subiri pdf.
swali zuri sanaMkoa gani wamepiga?
kumekucha mkuu,cc wa domu ngoja tusubiriTarehe 2 mkuu wangu.. watu washaanza kupigiwa simu!!